Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

..hapa bado..sioni KY gel...au kwa mpalaa huendagi....
 
Kama million 200 unaona nyingi, na hizo gari za million 200 zimezagaa barabarani basi utakuwa na ufinyu wa fikra juu ya hela.
Pls pls mkuu kuwa sensitive kwenye issue kama hizi
Na barabara yenyewe wameitengeneza kama runway ya ndege

View attachment 2454332
Hizo taa naona kama zipo pembezoni mwa barabara?au ni macho yangu?,maana zilitakiwa kuwa katikati ya barabara, kutenganisha side mbili za barabara, pembezoni wachore msitari wa yellow line, hizi taa usiku zinachanganya kama zipo pembezoni mwa barabara
 
Hizi ni reflector zimewekwa kwenye zile kingo za chuma zilizopo ukingoni mwa barabara kwenye madaraja na kona kali.

Za upande wako zinawaka mwanga wa njano, za opposite lane zinawaka mwanga mwekundu.

Kwa barabara hii yenye giza na isiyo na michoro zinasaidia sana kukuonyesha uelekeo wa kona na kingo kwenye madaraja

 
Hizi Crown zitamaliza vijana
 
"Aliitoa clutch na brake" ukisikia maneno ya kijiweni ndio haya. HAIWEZEKANI KUENDESHEKA..
NASEMA HAIWEZEKANIIIIIII.
Duniani kuna vituko wallah, tambua tu hujaona yote wala kusikia yote chief. Mie nimeshuhudia na sio kuhadithiwa. Na kwa aliewahi kuendesha Landrover anaweza akawa na la kuchangia, Landrover mara nyingi zinasumbua rubber za clutch... Na inawezekana kuendesha ukianzia low mode without a clutch.
 
Turejee namba 3 yako. Ndio mfano halisi wa huyo mzee.
 
Barabara inaita kweli kuwasha moto[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…