Hiyo teknolojia itakuja kuwageuka siku moja, mnaanika maisha yenu sana, sasa hiyo ina faida gani? Mzinga ukitokea mnaanza kuja na maswali meengi mara walijuaje usiku ule kama ni yeye, kumbe mlijianika wenyewe, hamjui mko tracked kila mahali, hiyo kitu siyo kabisa na futa kama unapenda privacy na kila binadamu anastahili privacy fulani!
punguza kuandika kwa mihemuko ndg. nimechukua tahadhari zote za privacy kabla sijapost hiyo video.
labda nikuulize,kwa uzoefu wako wa kuijua tz, unaweza kubaini geographical coordinate za eneo linaloonekana kwenye video?.
unaweza kumjua muhusika au wahusika waliopo kwenye hiyo roadtrip?. unajua kwanini nimetumia mosaic filter kwenye tracking icon?.
mzinga utokee kwa sababu ya google map?, how?. hata kama ukitokea na waliopata mzinga wakajulikana hapa JF, kuna hasara yoyote?.
NB:
kuwa tracked kila mahali inategemea na mfumo wako wa maisha. wahusika hawawezi wakawekeza nguvu na mda wao wakutrack hivihivi tu, lazima kutakuwa na sababu nyuma yake. it's either umevunja sheria, you are a suspected terrorist, most wanted criminal, an influential person(famous businessman, politician,celebrity,socialite) etc.
na ukishafikia level hiyo, ina maana hata huu mtandao wa JF sio salama kwako.kutumia jina la kificho au vpn haitoweza kukuokoa. maana naona umeiweka google map kama app pekee inayokusanya taarifa za watumiaji wake na kutrack movement zao, ukasahau kwamba hata hii JF mtu au kikundi cha watu kinaweza kuitumia kwa malengo hayohayo.
sasa mimi na ukapuku wangu huu wani track kwa sababu gani?. naishi bila kuvunja sheria za jamhuri,sio gaidi, sio mhalifu, sina ushawishi wowote kwenye jamii. wakifanya hivyo watakuwa wanapoteza muda na rasilimali.