Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pole sana mkuu
 
Ulienda duka lipi au garage ipi?
 
Sikumbuki majina ila moja linaitwa kwa massawe ila hapo nilikosa lingine linaitwa Auto Spare nilikosa hilo nililopata jina sikumbuki
Pole sana. Hapo Kwa Massawe ni karibu na kituo kidogo cha police kumezungushiwa tape ya njano. Ndo maduka yaliyopo. Spare nyingi zina agizwa Dodoma mjini masaa mawili mpaka matatu inakua imefika. Karibu tena
 
Hizo gari zinatembea hatari [emoji3]
Kuna siku tulikua tunasafiri kuelekea kanda ya kusini na Noah voxy letu ikiwa bado mpya mpya [emoji28][emoji28]

Tumetoka hotelini kula tunaingia road tuendelee na safari kuna jamaa nae Ana V8 alikua hapo hotelini pia so wakati sisi tunatoka na yeye akawa anatoka yuko nyuma yetu tumeenda mbele kidogo akakaa kulia akatuchana

Nikamwambia mwanangu tujaribu ligi na V8 hiyo aah ni kama tulikua tunajitekenya na kucheka wenyewe tuliaibishwa vibaya mno Ile chuma ilipotea mbele ya upeo wa macho yetu ndani ya muda mchache sana tukabaki tunacheka tu [emoji23]
 
Huyo aliwaheshimu. Ingekuwa mwingine anakuacha utangulie dk30 halafu yeye ndio anatoka na bado anakutafuta na kukuacha usome spare tyre cover.
 
Chuma gani
 
Mimi kuna siku iliniovatake mlimani nikiwa 120 niliziogopa na tena ni hizi za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…