Kuna siku tulikua tunasafiri kuelekea kanda ya kusini na Noah voxy letu ikiwa bado mpya mpya [emoji28][emoji28]
Tumetoka hotelini kula tunaingia road tuendelee na safari kuna jamaa nae Ana V8 alikua hapo hotelini pia so wakati sisi tunatoka na yeye akawa anatoka yuko nyuma yetu tumeenda mbele kidogo akakaa kulia akatuchana
Nikamwambia mwanangu tujaribu ligi na V8 hiyo aah ni kama tulikua tunajitekenya na kucheka wenyewe tuliaibishwa vibaya mno Ile chuma ilipotea mbele ya upeo wa macho yetu ndani ya muda mchache sana tukabaki tunacheka tu [emoji23]