Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

kwahiyo hakuna gari inayo ikata gtr ?
Kuna video niliiona, nissan gtr alikuwa mbele kidogo ya audi. Ile audi ilikuwa 320kph ila nissan alikuwa anazidi kusogea.

Hapo ndo utajiuliza huyo jamaa wa nissan alikuwa anaendesha ngapi?

Alieitengeneza Nissan gtr alikaa chini akaisuka gari vyema. Ule ni moto wa gesi.
 
Video yenyewe si ndo inayojadiliwa hapo mkuu
 
Mkuu mwaka 1980 nilinunua Skyline GT ya 1978
Ila ya 77 ndio ilikuwa balaa ilikuwa ukisimama mahali lazima mwenye gt asimame kukusalimia

Hiyo ilikuwa middle east nilikuwa kuifuta km zote ilikuwa kawaida sana
Niliwahi kujichomeka kwenye rally yaliyonikuta siwezi kusahau, utoto ulikuwa raha sana

Mwisho nilikuja kuwa nanunua na kuuza sports cars za kila aina mradi kila wakati niendeshe tofauti tofauti tu

Kwa sasa nimezeeka but still nakwenda kuangalia mashindano kila mwaka Silverstone
 
Welldone mkuu Nami ni mpenzi sana wa F1, Silverstone grand prix home ground ya Mercedes, ila mimi ni fan wa red team pale Monza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…