Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahah GX100 ikipata kichaa ni balaa. Huyo ulimnyoosha sana aisee
 
itakuwa alienda kusimulia maana nina hakika hakuamini alichokutana nacho... Kuna muda GTR kama aliachia moto hivi ila baadae aksema Mr. Audi, sorry I have to go.... hahahahaha
Ila bila shaka hao jamaa wanajuana and they planned to battle haikutokea tu bahati mbaya wamekutana hapo[emoji28][emoji28]

Ukiangalia hata hiyo video aliye record alikua nyuma ya seat ya dereva wa Audi
 
Racing is an interesting sports... hata Mimi ni fan sana wa MotoGP na F1, my favourite team ni Redbull Racing Team ila simpendi Verstappen kutokana na ubinafsi wake...
Mercedes na Lewis Hamilton
Ila wengi wazuri hata Allonso pia

Halafu 2026 Audi na Porsche wanaingia pia F1 hapo ndio tutaona mapambano kama tutakuwa hai
 
Asante mkuu, kwakweli ni kununua. Mwaka jana nilinunua hiyo stika nilivyonunua gari January sasa naogopa faini, wewe unanunuaje kila mwaka?
zikitoka utaziona tu kwa nyangenyange mkuu, andaa elfu 5 ya kubrashia viatu kwa zile siku za mwanzo zinapotoka, ila ikishapita mwezi au miezi wanapandisha dau inakuwa 10k, 15k hadi 20k. so zikitoka tu chukua mapema tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…