Yes kuna kitu hakiko sawa. Ikishapata moto temperature inakuwa katikati ambayo inaesza kuwa 60-90c kulingana na spec.Bro usikariri Mie gari yangu nzima na kuna muda inasoma 19⁰C hapo inakua haiko nusu kama unavyosema kwa hiyo ni wrong?
Mmmmm ingawa hii kwangu it's a NO, drinking and driving 🚘 siwezi na sishauri kabisa, ila iam not judging here, kila mtu na mazoea yakeSafari na muziki[emoji41]View attachment 2491659
Kitu hakiko sawa kwenye gari yangu?Yes kuna kitu hakiko sawa. Ikishapata moto temperature inakuwa katikati ambayo inaesza kuwa 60-90c kulingana na spec.
Mmmmm ingawa hii kwangu it's a NO, drinking and driving 🚘 siwezi na sishauri kabisa, ila iam not judging here, kila mtu na mazoea yakeSafari na muzikiView attachment 2491659
Aje hapa JituMirabaMinneKasome car operating temperature.
Kijiji changu kileeeDom to Kilosa this morning! View attachment 2489706
Hizo kuucha huumii? Wakati unakata?Majanga ya road, imechomoka cv jointView attachment 2490996
Ford mustang mpya kabisa imeshapasuliwa View attachment 2490006
Atakuwa yuko bush huyo🤣🤣🤣Kwanini wanayapark? Labda huko ulipo. Nilipo mimi ukiondoq IST gari zilizozagaa sana ni Crown grs180.
Hapana sio IT imesajiliwa Namba EIT au kuna mdau kaishusha kusumbua mjini?
Hizo kuucha huumii? Wakati unakata?
Umezimaliza sana 😛
Hapana sio IT imesajiliwa Namba E
Hiyo Ford mustang Imepata ajali, hiyo show ya mbele yote imepasuliwa sema niliotea picha ya ubavuni maana nilikua kwenye gari
Kwenye hiyo picha ukiangalia jamaa anayetembea kabeba begi karibu na pikipiki anaangalia ilivyomegwa
Hongera mkuu, ungekuwa na BMW, Benz au Audi ingekuwa burudani sanaNashukuru nimebadilisha na chuma inaelekea mbeya.. Road trip ziendeleeView attachment 2491128
Ana kamba ndefu atarekebisha tuDooh!
Hahahah huwa tunadharaulika sanaUchawi unaanzaga hivi hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchawi unaanzaga hivi hivi