Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana, hayo mekundu hamna kitu, amount sawa na hayo meupe
Kumbe ulishachukua hili dude?!!Service Time
Nahitaji kupewa changamoto
Dar to Tanga hadi Kenya kupitia border ya horohoro to Mombasa hadi Kampala
View attachment 1651579
[emoji16][emoji16]Kumbe ulishachukua hili dude?!!
[emoji16][emoji16][emoji16] walizani napiga mkwara unasikiniHa ha ha mkuu acha utani...kuna uzi uliulizia bei huu mtambo! Wana wakakushambulia sana
Mkuu lipige face lift....liwe kama 2018-20Service Time
Nahitaji kupewa changamoto
Dar to Tanga hadi Kenya kupitia border ya horohoro to Mombasa hadi Kampala
View attachment 1651579
Budget mkuuMkuu lipige face lift....liwe kama 2018-20
Poa poaDiagnosis, check PM yako
Duuh kwahiyo mkuu mtu usile maisha kwa sababu ya uzee? Kuna mtu kawekeza kwenye hivyo vitega uchumi na kaviacha akiwa hajawahi kuvifaidi hata siku moja!Wekeza kwenye vitega uchumi wewe usije sumbua uzeeni, kama wewe ni mTanzania na mwana East Africa utakua na shida nyingi tu!! Shauli zako
Wewe mgeni na JF? Huku watu wanahisi wana haki ya kupangia wengine waishi vipi na kujiona wao wakamilifu.Duuh kwahiyo mkuu mtu usile maisha kwa sababu ya uzee? Kuna mtu kawekeza kwenye hivyo vitega uchumi na kaviacha akiwa hajawahi kuvifaidi hata siku moja!
Pale Hugos nilikula Mbuzi Vitunguu.Waenda moshi sehem gan tuje tule mbuzi[emoji12]