RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #241
Hapendi private.,..bata la mwaka jana kwenye treni limemzinguabora RRONDO akupe lift akushushe Himo njia panda, Treni siku hizo wanawawekea na breweries, ndani ni lazima mtakolewa na kilevi isije ikawa km ile Meli ya Mv BK
Usafiri wa Private mzuri ukipata lift mradi masharti jamaa akisimama Mombo usikatae kilagi na kulala Same hata kwenye gari kuvunja seat tu ndio raha za P/car