Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

bora RRONDO akupe lift akushushe Himo njia panda, Treni siku hizo wanawawekea na breweries, ndani ni lazima mtakolewa na kilevi isije ikawa km ile Meli ya Mv BK
Usafiri wa Private mzuri ukipata lift mradi masharti jamaa akisimama Mombo usikatae kilagi na kulala Same hata kwenye gari kuvunja seat tu ndio raha za P/car
Hapendi private.,..bata la mwaka jana kwenye treni limemzingua
 
mm nitapitia Makau mapya Arusha, pale kuna samaki watu wa chap chap, Babati nitampoteza jamaa ngoja nikamdondoshee Dodoma kwa Wabunge wa Covid 19 najua ndio level yake akimaliza mwaka atinge zake Dar
Huu uzi unanipa data za machimbo muhimu
 
bora RRONDO akupe lift akushushe Himo njia panda, Treni siku hizo wanawawekea na breweries, ndani ni lazima mtakolewa na kilevi isije ikawa km ile Meli ya Mv BK
Usafiri wa Private mzuri ukipata lift mradi masharti jamaa akisimama Mombo usikatae kilagi na kulala Same hata kwenye gari kuvunja seat tu ndio raha za P/car
Mkuu[emoji28][emoji28] sikua na uhitaji wa private cars kwasababu zipo za kutosha nyumbani. Mimi tamanio langu ni kuexperience usafiri wa treni na basi maana nilipata wivu ile last dec. Halaf kwenye mabasi naenjoy new company jamani. Marafiki wapya. Nilipataga mchumba huko wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088] Aru-Dar. Sasa ukiwa na wazazi si hamna raha kihivyo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nataniaa. [emoji23]
 
Ndioi[emoji23]
Nayataman sana maisha ya changanyikeni maana siyapati hakika.
lkn nimekutahadharisha ya Mv Bukoba, humo ndani Kampuni ya Breweries wataongeza vinywaji, sasa Treni itakayoenda X-mas ni kata miti panda miti, kwa hiyo ukiwaona wenzako kwenye corridor wamelewa na kupakatina usiache mrejesho
tarehe hizo Wanachuo na wanafunzi waakuwepo? maana waKibosho na waRombo wamejaa mifuko tayari kwa Mlimani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tuacheee. Wakibosho na warombo damu damu sisi. Tunapendanaa. Ila kwani anayeendesha jaman ndo analewa? Yeye analisukuma tuu bwanaa. Anyways, ushaanza nitisha bwanaa.
 
Back
Top Bottom