Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Sio vanguard???Mkuu hilo chuma DVA sio crown kweli?
Maana mm katika mizunguko yangu nimeiona vanguard😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vanguard???Mkuu hilo chuma DVA sio crown kweli?
Kwenye mawe[emoji38][emoji38]Sisi tusio hata na baisekeli tukomenti wapi?
Aushtue umasikini sio?Jf kila mtu ana gari wewe comment kama unalo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yeah ukiingia humu ni billionaire
Hasa barabara ya kaskazini imeharibika sana, wazee wa kupenda kutembea usiku inauniza sana.Matuta,tochi zinazingua sana. Trip ya 4hrs inakuwa masaa 10
Oh mashimo yameongezeka? Na usiku kuona mbali ni issue. Mara ya mwisho nilisafiri jioni nikapata msala saa 12 ndio ilikuwa pona yangu vinginevyo ningelala barabarani hadi asubuhi. Sisafiri tena usiku.Hasa barabara ya kaskazini imeharibika sana, wazee wa kupenda kutembea usiku inauniza sana.
OhoooDVA ziko 900 sasa hivi could be anything from VX to Passo
Mashimo ni mengi, juzi niliondoka dar 12 jioni nimeingia Arusha 03.00, barabara mbovu sana.Oh mashimo yameongezeka? Na usiku kuona mbali ni issue. Mara ya mwisho nilisafiri jioni nikapata msala saa 12 ndio ilikuwa pona yangu vinginevyo ningelala barabarani hadi asubuhi. Sisafiri tena usiku.
Msitunyime kapicha hata ka Tecno msafara wenu hiyo tareheRoad trip ya tarehe 24.12 uelekeo Dar-Segera-Korogwe-Himo utaipenda.
Road Trip tarehe 28 - Dec.. Trip Moro -Iringa- Njomb-Mbeya.. mkeka fulani umesimama saana.. kila mji naweka kambi .. drive safely mkuu..Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Na mimi msinisahau jamaniOmbi lenu limekubaliwa
DVB 700+ nimeona janaila plate number zinakimbia sana aisee sahivi DVA tena 350+
Nimeona kuna mahali hapo juu umemtaja Mjerumani ila wengi hawajaonaHa ha ha ndio maana nimesema DVA bila kutaja model dunia ndogo hii
Usijali, sisi chawa wake tutakupa ka hint ka picha tukiwa tumeweka vishoka ndingani.[emoji23][emoji23]Hahah hapo kiutu uzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581]
itakua hujui maana ya wivu unaropoka tuAushtue umasikini sio?