Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Samahani Sana sikuwapa mrejesho wa trip yangu ya Dar - Arusha - Nairobi.

Ila ndivyo hivyo nimewasili leo asubuhi na mapema
IMG-20201223-WA0011.jpg
 
Baadhi yenu leo ndo mnaanza road trip,tafadhalini sana kama mlivyotuaga mtuletee na mrejesho pindi mtakapofika salama muendako na pindi mtakapojaaliwa kurudi salama mlipoanzia safari
Muwe na sikukuu njema na mapumziko murua ya mwisho wa mwaka
 
Moshi moja hiyo. Napumzika kidogo niamshe arusha.

Sikutegemea kama ule muda tulioamka kungekuwa na magari mengi vile.

Leo hakukuwa na trafiki kabisa.

Sijasimamishwa zaidi ya ku-overtake pale Wami.

The trip was good and enjoyable.
 
Wakuu nimefika salama Moshi nitakaa hapa hadi jioni sana then naingia destination yangu Chuga! It was an enjoyable road trip.
 
Back
Top Bottom