Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_20201225_135824_1.jpg
 
hata hiyo mkitupa si haba
mm wanangu nimewaachia Ice cream za azam baada ya kushindilia pilau na soda baadae nikawazungusha Chinangali, Nyerere square, kufika Dodoma Hotel swimming pool la baridi hasa na kimvua hichi, naenda waachahome
WASWANU ni kuanzia saa 2 mm alone na serengeti mpaka asubuhi, Pub siwezi
Aisee leo nilikuwa Waswanu nikapiga zangu kitimoto na ndizi nikashushia na Safari na Heineken

Kesho Pestana
 
Pole sana dingii...
Tuliomba kazi wenyewe..
Tufanye kazi..
Kama hatutaki kazi, tuache kazi
Tuone ilivyo kazi, kupata kazi..[emoji28][emoji38]

26/12/2020 nitakusupoti mzee baba, nitashinda job..
Aaah kazi kazi, hao wajuba inaonekana mmoja usiku alikuwa Kala vyombo akamkwangua mwenzie ubavuni. Mchana nimemaliza kazi ya leo napata taarifa ya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom