RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #1,721
Uzuri Wabongo sio rigid,watatafuta gari ingine yenye unafuu watakomaa nayo. Wakipandisha wanahamia ingine.11M+ what a joke? Tujiandae kupanda punda for real! TRA wakishaona gari zinaagizwa kwa wingi ndipo changamoto inapoanzia.My worst fear ni pale watakapoanza kudeal na biashara ya spare parts kwa kuitoza kodi kubwa.