Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna watu wenye hizo crown utawaone huruma wanavyo lalamika utafikiri walipewa hizo gari 😀😀😀😀.. mtu unasikia bora nirudi kwenye ka Sentanta kangu au ka ist .. ila yote huo ni uoga. Pia watu kuwa na matumizi ya gari pasipo sababu za msingi ndio hawa wanalaumu sana. Kama gari unaitumia katila mambo ya msingi hata siku moja huwezi lalamika weseNi kweli. Watu walikuwa wanaogopa sana gari za cc2500! Angalia leo Crown ndio saloon car ya kawaida!
kipindi cha JK kuna mshkaji ye walimkamata road akawa anabishana nao baadae akawaambia nyie badala mkapambane na majambazi mnakuja kujaa huku barabarani kutuonea tu,aisee alifikishwa kituoni nguo zake zimeshachakaa tayari akapewa na kesi nyingine serious sana.Sometimes unaepusha mengi kukubali kuonewa. Usiombe upewe kosa la kumzuia askari kufanya kazi yake!
Hio mifano yako miwili ndio nilichosema be humble. Ukikosea tu mwanzo ujue utaandikiwa hata kama huna kosaMzee baba unaishi bongo kweli?
Hizo unazosema ni theories tu,mimi kipindi kile cha lugola amesema( sijui ukikutwa na kosa la taa ni mbovu,side mirror mbovu,rangi imeisha hilo ni kosa 1 tu la uchakavu na sio makosa matatu) nilikamatwa kule Tegeta nikiwa na kosa la taa 1 mbovu nikakuta traffic wamemshikilia jamaa mmoja ana harrier old model yuko anabishana nao huku amewatolea simu wale maafande kwamba Lugola anasema hivi na bla bla blah kibao.
Mimi walivyonifata nikawaambia ni kweli afande taa yangu kweli ni mbovu lkn kwa sasa siko njema mfukoni lkn w/end hii salary itaingizwa nitatengeneza afande,nikaomba samahani.
Afande akaniambia jitahidi uitengeneze na sikutoa hata senti,yule jamaa aliyekua anabishana nao mambo ya Lugola akaandikiwa makosa mawili na akaambiwa mpige huyo Lugola mwambie tumekuandikia na pia na No. ya RTO hii hapa mpigie huko mbele ya safari mueleze tumekuandikia kibabe maana tunapendaga wajuaji kama nyie.
Ninajua sehemu ya ku react na mipaka yangu inaishia wapi.
Hii huwa tamu sana, nilienda bagamoyo majuzi kuna ka sehemu kazuri.. gari ijuta kunijua... 😃😃😃😃😃 kwa vipande vipande vile vile.. nilikuwa nasubiri gari zinajipanga.. nacheki kwa mbalii.. nakibinya hadi mwisho pwaaa nazipita gari zote.. alafu mbele nazisubiriaHii unakuwa ubavuni kwa mtu, unaiminya accelerator pedal mpaka chini, mashine inarudi gia moja nyuma halafu inatoa mlio kama simba
😃😃😃😃 bahiri wewe wa wese.. mie nikiwa apache alolo, huwa nachezea chini ya 4 .. hata nitembeaje .. ila nikiwa vizuri.. napuyanga tuHapa 80..100..120...130! Nalegeza mguu kidogo kulinda RPM zisivuke 3! 😝😝😝
Tatizo mliwadanganya kuwa zinatumia mafuta vizuri sana! Waambieni ukweli ukiendesha Crown vile inatakiwa lazima uone tofauti na Premio ila ukiiendesha kama Passo ndio utaona mafuta yanatumika kama Premio.Ila kuna watu wenye hizo crown utawaone huruma wanavyo lalamika utafikiri walipewa hizo gari 😀😀😀😀.. mtu unasikia bora nirudi kwenye ka Sentanta kangu au ka ist .. ila yote huo ni uoga. Pia watu kuwa na matumizi ya gari pasipo sababu za msingi ndio hawa wanalaumu sana. Kama gari unaitumia katila mambo ya msingi hata siku moja huwezi lalamika wese
Wewe ni chizi magari!Hii huwa tamu sana, nilienda bagamoyo majuzi kuna ka sehemu kazuri.. gari ijuta kunijua... 😃😃😃😃😃 kwa vipande vipande vile vile.. nilikuwa nasubiri gari zinajipanga.. nacheki kwa mbalii.. nakibinya hadi mwisho pwaaa nazipita gari zote.. alafu mbele nazisubiria
Ile kitu unasiku mvuuuuuuuuu... alafu inatulia alafu mvuuuu huwa ina raha yake aseeeee.. hela raha sana, hizo miungurimo unaioata kwenye machine kama ferrari aseeAaah starehe ya mashine iungurume
In reality-Wakati wa JK si wakutolea mfano kabisa juu ya ufwataji wa sheria-Ndiyo kipindi ambacho hawa watu walikuwa wanazabwa vibao kituoni kwao kabisa na raia wa kawaida na hakuna kilichokuwa kinafanyika cha maana.kipindi cha JK kuna mshkaji ye walimkamata road akawa anabishana nao baadae akawaambia nyie badala mkapambane na majambazi mnakuja kujaa huku barabarani kutuonea tu,aisee alifikishwa kituoni nguo zake zimeshachakaa tayari akapewa na kesi nyingine serious sana.
Aliteseka sana yule mwana.
Wanaambiana crown ipo vizuri ndani, ina kimbia, mala ipo stable road.. ila hawataki sikia mafutaTatizo mliwadanganya kuwa zinatumia mafuta vizuri sana! Waambieni ukweli ukiendesha Crown vile inatakiwa lazima uone tofauti na Premio ila ukiiendesha kama Passo ndio utaona mafuta yanatumika kama Premio.
Sasa kwanini ununue Crown halafu uendeshe kama IST? Afadhali ununue IST tu
Wenye passo zao wasijaribu hii,hahah.Hii unakuwa ubavuni kwa mtu, unaiminya accelerator pedal mpaka chini, mashine inarudi gia moja nyuma halafu inatoa mlio kama simba
Raha sana hii kitu.. hasa ukiwa na gari ipo kwenye hali nzuri kabisa..Wewe ni chizi magari!
Kipindi cha 'unajua mimi ni nani'In reality-Wakati wa JK si wakutolea mfano kabisa juu ya ufwataji wa sheria-Ndiyo kipindi ambacho hawa watu walikuwa wanazabwa vibao kituoni kwao kabisa na raia wa kawaida na hakuna kilichokuwa kinafanyika cha maana.
Bahati mbaya tu ni kwamba sipendi ku discuss siasa sana(mambo ya regimes).In reality-Wakati wa JK si wakutolea mfano kabisa juu ya ufwataji wa sheria-Ndiyo kipindi ambacho hawa watu walikuwa wanazabwa vibao kituoni kwao kabisa na raia wa kawaida na hakuna kilichokuwa kinafanyika cha maana.
Kuna wakati traffic ukiongea nao kirafiki na wao wanashuka.Shida kubwa madereva wengi hasa vijana ni ujuaji ndio maana traffic police wanawakomoa. Be humble utamuona na yeye anabadilika. Though wapo pia traffic vichomi.
Mungu anisaidie target yangu ifike katika mda nilioweka nichukue 1URS jesta, na kama nitashindwa basi nitachukua VQ35.. ila nikilamba hiyo ya kwanzaa.. nitafurahi sanaaaTena iwe 6 au 8-cylinder engine
Ukiambiwa ufuate njia husika kupeleka malalamiko yako ndo utajua hujui.Kiuhalisia ni kwamba Traffic hapaswi kutafuta kosa kwenye gari-Anapaswa kujua kwa nn anakusimamishia na siyo kuibua problems kichwani kwa kuhisi.Wabongo shida yetu ni kwamba hatujui wajibu wetu na haki zetu hasa tunaposimamishwa na traffic & appropriate channels za ku escalate mambo yetu pale tunaposhindwa kuafikiana.Hon. Kangi Lugola alitufumbua sana macho wananchi juu ya haki zetu pamoja na wajibu wa traffic na ndiyo maana hawa jamaa wa wa usalama barabarani hawakumpenda hata kidogo.