ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kama engine yako iko vizuri unawezea tembea siku nzima kwa spidi yoyote. Ukiangalia dashboard kwenye ile gauge ya RPM utaona kuna red zone kule mwishoni. Gari za petrol nyingi red zone inaanzia kwenye 6 na za diesel ni kwenye 4.5. Hii red zone ndio sio ya kukaa mda mrefu, unaistress engine.kwa Chalinze - Moro nakubali km una mashine nzuri dk 75 hazifiki
kuna vibonde na miinuko hasa kule pori toka Mdaula mpaka Mikese pale hata 140-180km/h unakanyaga.
Hapa tusaidiane mafundi, dereva anaposema kakanyaka mafuta hadi speed 180km/h ikasikia injini inazima au kuburst ukweli unatokea wapi?
Mimi niliunguza alternator nikajua ni speed niliyotumia kwani nilikimbia zaidi ya saa nzima nikiwa 120 -140km/h
nilipoenda dukani nikamwambie aniuzia Alternatoe ingine kwani speed niliyotumia sio mchezo, yeye akanicheka akaniambia mzunguko wa injini upo palepale na belt zake ni hii ni kutokona na RPM kinachokimbiza gari ni gearbox na hasa Top gear
unaweza kukuta upo speed 200km/h na RPM ipo 7 na ndio mzunguko wa alternator
ina uunaweza kuwa speed ya 40 km/h RPM 10 (nina maana ya juu kabisa)
nipo tutani nasubiri majibu yenu
As long as unatembea chini ya red zone hata kama upo 180km/h engine yako haitakiwi kuchemsha wala kuingia tatizo lolote. Imeumbwa ili itembee.