RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #3,741
Duh si mchezo!Mimi jana nilipiga 1300km in 26 hours. Niligeuza the same day jioni kutoka Arusha nikarudi Dar.
Fatigue ingeniua.
Niliona reaction time yangu imekuwa mbaya mno, ikabidi niache kumwaga moto nikawa naifuata gari nyingine nyuma namtumia kama guide wa kuniangaliza mbele.
Kufika mombo nikakunjua kiti cha abiria nikajilaza, nkashtuka lisaa limoja na nusu baadae nikiwa fresh. Ikawa ni kulala na kona za korogwe tu - sedans zina raha yake kwenye curves.
Fatigue is real. Usingizi hauna baunsa.