Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pole sana kwa safari ila una uwezo mkubwa sana wa kuvumilia kuangalia barabara kwa muda mrefu......umebarikiwa
kuna kipindi mkuu haina namna, unakuta kazi inakutaka ufanye hivyo. Hasa kwa tulio jiajiri, ukilala na kila kitu kinalala na unaweza poteza wateja.. inabidi una jitoa haswaa.. ila na mda wa kupumzika na pumzikaa haswaa
 
Utalii wa ndani .. usiolipiwa
P10513-134222.jpg
 
Back
Top Bottom