Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

aaah! Napenda sana kwenda Arusha kwa kutokea Singida.. huwa naipenda sana ile njia.. ratiba zangu za Arusha huwa naziamshia nikiwa dodoma au singida au mwanza..

Hivi wakuu niambie kuhusu hii barabara. ..kutokea Dodoma kwenda Arusha through Babati. Sijawahi pita. Nimetumia hii ya Singida-Arusha via Babati km 325. Ingawa ni ndefu kiana. Though kuanzia late evening inakuwa nyeupeeee...

In few weeks, nataka nifanye trip ya Arusha..ila nina kazi kidogo Dodoma. Sitaki nilale hapo. Nataka jioni niunge Arusha.
 
From my experience, watu wenye magari "proper" au ya kifahari (sorry nimekosa jina sahihi), I mean the likes of VW, mercedes, BMW, Discovery nk.....kwanza wengi ni wenye uwezo kiuchumi...
Kuna gari zimetengenezwa kwa ajili ya high speed. They are safe and comfortable ukiwa high speed.

Na sio rahisi kuona zinapata ajali hovyohovyo.
 
Gharama yote hyo kisa nn jama
Dereva wa ndege baada ya trip huwa wanalala pale Serena hotel au Hyatt Regency. Dereva ni mtu muhimu sana kabeba roho za watu na yake. So baada ya trip anatakiwa apate mahala pazuri sana na burudani nzuri kabisa za kuwek mwili wake sawa, akili kabla ya next trip.. ajali nyingi za madereva hutokana na madereva kuto kupata mapuzmiko sahihi hasa wanao tembea umbali mrefu.. hizo gharama ndogo sana Boss wangu
 
Back
Top Bottom