Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni teknolojia mpya, sidhani kama imesambaa sana kwa ufanisi.

Nadhani ungecheki na Dr. Agarwals wapo pale Morocco. Labda wameanza kufanya.

Ni delicate procedure ndo maana binafsi sidhani kama ninaweza mpa mtu jicho langu acheze nalo kiasi hiko.
Hutaki kabisa mtu acheze na jicho lako[emoji23].

Shukrani mkuu[emoji120],nitajaribu kufwatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paka sasa hivi kwa haraka haraka tokaea January ni zaidi ya 12,000km, kwababu ndani ya mwezi mmoja huwa natembea kati ya 2000km -5000km. Na kuna wakati trip moja tu huwa ninaenda zaidi ya +2000km non stop. Mfano kwa mwezi huu peke yake nimetembea 3,500km .. na leo usiku nakiamsha from Dsm to Tabora then mwanza..
Road trip legend....
 
Depends, ratiba ni flexible zinaweza badilika muda wowote. Ila so far ntaishia Mbeya mjini.
In around 2 weeks nikishajaza mchele na mpunga kwenye buti ntaanza kurudi mjini via Iringa > Dodoma nijazie buti na madumu ya wine then nielekee Dar nikatulie.

Aisee hebu nipe ramani wine nzuri ya jumla Dodoma inapatikana wapi? I need ya kutosha nikaweke stock home....thanks!
 
Ha ha ha ila gari za siku hizi haziji na spare tyre,wheel spanner wala jack. Zina run flat tyres ambazo inaweza kutembea bila upepo mpaka km80

Hizi inabidi utembee na 12v dc compressor upachike kwenye lighter socket ujaze. Pia unahitaji puncture fixing kit. Utambi, kile kifaa cha kuchomekea, gundi yake na kiwembe.
 
Back
Top Bottom