Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Saint Anne asante kwa like 😊😊😊..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki kabisa mtu acheze na jicho lako[emoji23].Ni teknolojia mpya, sidhani kama imesambaa sana kwa ufanisi.
Nadhani ungecheki na Dr. Agarwals wapo pale Morocco. Labda wameanza kufanya.
Ni delicate procedure ndo maana binafsi sidhani kama ninaweza mpa mtu jicho langu acheze nalo kiasi hiko.
Tupo pamoja boss[emoji120]Saint Anne asante kwa like [emoji4][emoji4][emoji4]..
Haitakaa itokee uwe kipofuMimi nilianza na -2 .
Huku kwenye -3,-4 sielewi hata nimefika vipi[emoji1751]
Bila kutafuta alternative nyingine ntajikuta mwisho nakuwa kipofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona namba inasogea tu..Haitakaa itokee uwe kipofu
Road trip legend....Paka sasa hivi kwa haraka haraka tokaea January ni zaidi ya 12,000km, kwababu ndani ya mwezi mmoja huwa natembea kati ya 2000km -5000km. Na kuna wakati trip moja tu huwa ninaenda zaidi ya +2000km non stop. Mfano kwa mwezi huu peke yake nimetembea 3,500km .. na leo usiku nakiamsha from Dsm to Tabora then mwanza..
Nikija Dar naomba nikupe lift,Wewe kama mimi
Haiwezekani mkuu. Namba kusogea sio kigezoMkuu naona namba inasogea tu..
Huwa naogopa sana nisije kuwa kipofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata enyewe siku hizi naona haikimbii naona kawaida sanaa4GR vijana wanakwambia safari imo humo...!
Depends, ratiba ni flexible zinaweza badilika muda wowote. Ila so far ntaishia Mbeya mjini.
In around 2 weeks nikishajaza mchele na mpunga kwenye buti ntaanza kurudi mjini via Iringa > Dodoma nijazie buti na madumu ya wine then nielekee Dar nikatulie.
Huyu ni lejendari aiseeRoad trip legend....
Mi nina contact mkuu naweka oda natuma pesa napata dumu zangu. Dry red wine 5L dumu 35,000 na semi sweet white ni 45,000 ambayo ndiyo wengi wanaipenda.Aisee hebu nipe ramani wine nzuri ya jumla Dodoma inapatikana wapi? I need ya kutosha nikaweke stock home....thanks!
Na unabamiza gari la pembeni au ukuta kama umepaki kwa kubanana [emoji23][emoji23]Mara ya kwanza kufungua mlango wa benz nilidhani ni mbovu.
Haufunguki wote, unafunguka kidogo tu. Inabidi utumie nguvu kuusukuma mpaka mwisho.
Milango ya hizi gari zetu unafungua unaenda wenyewe mpaka mwisho.
DIY fanatic ukichanganya na woga wa breakdown unapata hiyo mamboKuna mshkaji wangu ana carina yake, idadi ya spares zilizo kwenye gari yake anaweza akafungua micro garage sehemu.
Hadi extra battery anayo. Kila aina ya set ya spana anazo.
Na kazi zote anafanya yeye kwenye gari yake.
[emoji23][emoji23][emoji23] mlango wa mtawalaHa ha ha ha kuna dada aliniuliza mlango wako mbovu?! Nikamwambia sukuma tu mlango wa mkoloni mzito kidogo!
Ha ha ha ila gari za siku hizi haziji na spare tyre,wheel spanner wala jack. Zina run flat tyres ambazo inaweza kutembea bila upepo mpaka km80