Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo semi trailer za kubeba mbao huwa zinaingia porini zenyewe[emoji3]Nyang'oro! Tanzania is beautiful!View attachment 1809478View attachment 1809480
Thanks Dualis Driver, you save me from the 50km/hr traffic camera [emoji327].
View attachment 1810176
Yaani alikuwa mbele yangu anaenda mwendo mdogo nikasema huyu anatongoza demu aamaaa..! Wakati barabara ilikuwa nyeupe inaita.
Kushoto nako kuna daladala ndo kwanza inadema.... nikawa mpole, usawa wa geti la COTEX nikaona yangeyange na camera yao daaah...!!
Nikajukuta nalibusu Dualis by far, ila sasa baada ya kuwapita askari alitumua mbiooo hadi nikashindwa soma plate number zake....[emoji4].
Hizi tochi Daslam tulishazisahau naona zimerudi.... Mungu anisaidie nilegeze kisigizo maana elf 30 kuipa sirikali inaumaa [emoji2955].
Kasie Matata.
Huwa wanakaa Tegeta pale...just beforer IPTL ukikaa vibaya unaacha 30KThanks Dualis Driver, you save me from the 50km/hr traffic camera [emoji327].
View attachment 1810176
Yaani alikuwa mbele yangu anaenda mwendo mdogo nikasema huyu anatongoza demu aamaaa..! Wakati barabara ilikuwa nyeupe inaita.
Kushoto nako kuna daladala ndo kwanza inadema.... nikawa mpole, usawa wa geti la COTEX nikaona yangeyange na camera yao daaah...!!
Nikajukuta nalibusu Dualis by far, ila sasa baada ya kuwapita askari alitumua mbiooo hadi nikashindwa soma plate number zake....[emoji4].
Hizi tochi Daslam tulishazisahau naona zimerudi.... Mungu anisaidie nilegeze kisigizo maana elf 30 kuipa sirikali inaumaa [emoji2955].
Kasie Matata.
Wanapenda sana weekends haswa Jumapili..
Kuna jumapili moja waliwahi kuniotea wakachukua 5k yangu bhna..
Huwa wanakaa Tegeta pale...just beforer IPTL ukikaa vibaya unaacha 30K
same here, vibao huwa tunaanza kuangalia kuanzia Mlandizi au bagamoyoYaani nilishaacha kuangalia vibao vya spidi mjini Daslam ila inabidi nianze kuvifuata.
same here, vibao huwa tunaanza kuangalia kuanzia Mlandizi au bagamoyo
Kheee kuna app??Pia inabidi nirudishe ile app ya police camera signal, inasaidia.
Kheee kuna app??
asante sanaaaaaYeah
View attachment 1810286
View attachment 1810287
Check them in your App Store.
Ziko varieties nyingine za kulipia nyingine free.
shukrani mkuuBarabara haijatulia haswa kuanzia daraja la rufiji mpaka unaingia Somanga. Halafu Nangurukuru mpaka Mbwemkuru.. kama ni mtu wa mwendo kuwa makini na mashimo pamoja na diversion, bila hvyo utapasua tairi na hata rims
...kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..shukrani mkuu
vipi kuhusu vivutio?
Umalize nini tena jamani 180 haitoshi? Angalia airbags hizo hazifanyi kazi.
Nami nimeona hilo la airbags, nikajisemea hiiiiiii!!
Usije ukawaacha rijikzwaan na majonzi mtaalamu
Nyang'oro! Tanzania is beautiful!View attachment 1809478View attachment 1809480