Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Huwa kuna tochi mitaa ya mizani hapa salasala ukiwa unatoka Mwenge kuja Tegeta. Ni pa kuangalia sana hapo,zingine ni Mapinga na Zinga kwa tunaofika Bagamoyo
Naona zimerudi kuna kipindi miaka kama 3 au 4 tochi za Daslamu zilipotea kabisa.