Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Babarani mambo mengi sana, na kuna raha ya safari
Nadhani Raha ni nyingi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babarani mambo mengi sana, na kuna raha ya safari
Huwa ni furaha sana, hasa ukipita njia ambayo kuna mahala wanachoma nyama 😊😊 huwa kuna raha yake. Mnakaa mnachoma nyama mnafurahi then mnaamshaNadhani Raha ni nyingi zaidi
Ili mwili ukae vizuri. Hii trip ya mwisho kuna sehemu niliona nimezidiwa na uchovu sana, mwili ulikuwa unakataa kabisa. Ikitokea hali kama hii huwa nakaa pembeni nakuwa najua natakiwa kuchukua mda wa kupumzikaduh wewe ukae wiki bila kusaga lami si utaumwa?
Ni vizuri sana kuujua mwili wako. Pumzika kidogo upate nguvu mpya.Ili mwili ukae vizuri. Hii trip ya mwisho kuna sehemu niliona nimezidiwa na uchovu sana, mwili ulikuwa unakataa kabisa. Ikitokea hali kama hii huwa nakaa pembeni nakuwa najua natakiwa kuchukua mda wa kupumzika
Ila bagamoyo sio mbali kama uber zinafika 😀😀😀. Kule pia ni sehemu ya kwenda kupumzika tu.Unaona sasa...!
Ah mimi bana nikiwa nasafirisafiri sana akili ndiyo huwa ina recharge! Nikikaa sehemu moja kwa muda mrefu nakuwa kama zombie!Nilikuwa nafanya za night kali nikapumzishwa [emoji23][emoji23]
Saa hizi Nipo town
Akili inagoma kabisa
Kumbe ulisharudi Dar mkuu au unatokea wapi? Au unaenda bagamoyo ya Tanga?Ila leo nitaenda bagamoyo kushngaa shangaa ka trip kafupi tu [emoji3][emoji3]
Dar nilirudi mkuu. Bagamoyo tu hapo kushangaa shangaa tu, huku tuna charge nguvu tena mwilini, zikianza trip ni non stopKumbe ulisharudi Dar mkuu au unatokea wapi? Au unaenda bagamoyo ya Tanga?
Sawa sawa mkuu! Unafika hadi ufukweni kutembea ama unaishia kwenye lodge au hotel tu?Dar nilirudi mkuu. Bagamoyo tu hapo kushangaa shangaa tu, huku tuna charge nguvu tena mwilini, zikianza trip ni non stop
Ufukweni tu, na kushangaa shangaa kale ka mji. Na kukaa sehemu moja kama pale travellers, siku iishe hiyo na mambo mengi yaanzeSawa sawa mkuu! Unafika hadi ufukweni kutembea ama unaishia kwenye lodge au hotel tu?
Oh safi Kabisa kiongoziUfukweni tu, na kushangaa shangaa kale ka mji. Na kukaa sehemu moja kama pale travellers, siku iishe hiyo na mambo mengi yaanze
Nafikiri labda kwa sababu za kiusalamaDuh kwanini hawaruhusu sasa