RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #5,741
VAR inaonesha rim ya Athlete....View attachment 1820943View attachment 1820947View attachment 1820944
MAMBO YA NJIANI HAYA NI MUHIMU. USISAFIRI KIZEMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VAR inaonesha rim ya Athlete....View attachment 1820943View attachment 1820947View attachment 1820944
MAMBO YA NJIANI HAYA NI MUHIMU. USISAFIRI KIZEMBE
Hiyo barabara kwa magazi yetu yanayo tambaa ndio mahala pake 😀😀😀😀😀😀😀
SBT pia wako vizuriBefoward
No way,Wakuu ni kampuni gani nzuri ya kuagiza baby walker ya kijapan kwa bei nzuri?
Wana bei za kijinga jinga sana hao....bora tu BeforwardSBT pia wako vizuri
Kenya wamepata bahati ya kuandaa mashindano kidunia, mwaka jana walihairisha sababu ya Covid-19. Mwaka huu ndio inafanyika itabidi tuangalie kwenye TV tu.Hizi mambo huwa naishia kuona kwenye TV
Jamani si tulikubaliana wiki mbili za mapumziko?!! Au muda unakimbia mimi nimesimama?ISO M.CodD nakiamsha mda huu kutoka mlimani city to dodoma 🙂🙂🙂
Mbna hujapita kunichukua? Au unataka nkubwage wee mangi? [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu leo nimetola Dodoma saa tisa alfajiri kuja muleba nimefika saa saba kasoro namshukuru nimefika salama bila usumbufu wowote na sijasimamishwa na askari yoyote yule.
Umenifanya ni play hiyo nyimbo ya John Denver mda huu.Boss hii post umeipandisha tarehe 15 December, Siku yangu poa.
Sikuiona hii ila nilikua barabaran pia
Feeling ya kulewa kidogo, stress nyingi, mambo hayaendi, baridi kali na kijani kibichi nje ya barabara.
Ila burudani na replay John Dever "County Road" take me home
To the place I belong
West Virginia, mountain mama
Take me home, country roads.
Ila hapo kwenye West Virginia mimi nilikua naiwaza Moshi.
Helen Keller alisema haya maisha haya ni either yawe "a daring adventure" kama sio hivyo basi yasiwe chochote