Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Iringa_Dom vile viraka[emoji119]
Aah heri sasa hivi ni viraka, last yr b4 kampeni za uchaguzi yalikuaga ni mahandaki ya kufa mtuuu. Ulikua unatembea kwa kuhama lanes af hamadi unakutana na handaki limejaa barabara nzima hakuna pa kukwepea af upo kibati, tangu hapo sina hamu na ile njia. Used to luv kunyoosha mguu kidogo on weekends Kms 300+ zile za Dom - Mtera - Dom
 
Asante mkuu shukuran sana nitakuwa mwangalifu sana mdomdo natoka Mbeya (full tanks)
Usiwe unajaza full tank kama unatoka Bara (nje ya source ya mafuta)

Ungejaza ya kukufikisha Mafinga

Unaokoa hela za kulia Kuku Singida.

Mafinga unajaza full kwa kuwa bei ni nafuu kama Dar (sijui kwa nini)

Dodoma tena Full.

(Full tank = nozzle itakapo kata mafuta, Usijaze hadi pomoni)

Safari njema, usisahau mrejesho.
 
Aah heri sasa hivi ni viraka, last yr b4 kampeni za uchaguzi yalikuaga ni mahandaki ya kufa mtuuu. Ulikua unatembea kwa kuhama lanes af hamadi unakutana na handaki limejaa barabara nzima hakuna pa kukwepea af upo kibati, tangu hapo sina hamu na ile njia. Used to luv kunyoosha mguu kidogo on weekends Kms 300+ zile za Dom - Mtera - Dom
Nishapiga tuta....
niko kama 140kph usiku tuta hili nilipiga breki nilipokaribia nikaiachia gari ikapanda ikashuka abiria waliolala wote waliamka! Dakika tano nzima naendesha huku nasubiria taa gani itajipendekeza kuwaka kwenye dashboard huku nasikilizia shocks na wenzie. Kila kitu kilikuwa poa nikasema asante Mjerumani Moto ukaanza upya.
 
Aah heri sasa hivi ni viraka, last yr b4 kampeni za uchaguzi yalikuaga ni mahandaki ya kufa mtuuu. Ulikua unatembea kwa kuhama lanes af hamadi unakutana na handaki limejaa barabara nzima hakuna pa kukwepea af upo kibati, tangu hapo sina hamu na ile njia. Used to luv kunyoosha mguu kidogo on weekends Kms 300+ zile za Dom - Mtera - Dom
Mahandaki[emoji38][emoji119]
Yaani hivi viraka vinakwaza sana kwa kweli..hiyo barabara tulipigwa.
 
Father nimemcheki jamaa mmoja yuko Arusha nimemtumia picha, budget alonipa nimetulia kwanza kwa sasa nisugue sugue tu na hii 1KZ mpaka nitapopata hiyo hela asee.

Plate namba Initials za jina la mtu nimpendae
Ni kweli gharama huwa kubwa. Inabidi uwe na passion. Ila ni project ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom