Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ndiyo boss.Au ndiyo Dom, sijawahi kufika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo boss.Au ndiyo Dom, sijawahi kufika
[emoji4][emoji4]nazurura zurura duniani.Cc safari ya wapi hiyo? [emoji7][emoji7]
Huko tutafika tu penda tusipende ...Ndiyo TAMISEMI hukoNdiyo boss.
Ushafika Moro ama bado upo huko Ifakara sijui Mahenge?Mi nipo road nasubir usafiri kwenda dom.
Hakuepukiki boss.Huko tutafika tu penda tusipende ...Ndiyo TAMISEMI huko
Comrade naomba a b c za hiyo njia ya kudondokea bondeni kupitia Muze,Kitonga na Nyang'oro pamenyooka hivyo!
Siku pita Sumbawanga kwenda 'Bondeni' Muze ndio utajuwa Nyang'oro, Chunya Mby rd na Kitonga zote zimenyooka tu!
(Fuso unachekecha kukata kona! Gradient / nyuzi pembe za mwinamo ni almost 40 degree)
Hatari sana nja hiyo.
Umeanza kupenda safari.Unanicheka
Kumbe nimepatia eeeh.[emoji4]
Safi sana kutuliza akili.[emoji4][emoji4]nazurura zurura duniani.
Pana view nzuri kupiga picha.View attachment 1823660
Hapana huwezi kufika Kigoma moja kwa moja labda kwa kuongeza kilomita kadhaa za mzunguko na njia si rafiki sana labda upitie njia kuu ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Kigoma.Comrade naomba a b c za hiyo njia ya kudondokea bondeni kupitia Muze,
Je naweza kufika Kigoma kupitia hiyo njia ?Nina mpango wa kwenda hijja pande za huko ifikapo Augost
Hii siyo ya kwediboma hii either unatoka Handeni kuelekea Korogwe ama unatoka Handeni kuelekea Mkata ndo barabara zenye lami ya kiwango hicho
Umefika salama mkuu
Ndiyo.
Kwa jinsi nilivyokuwa, nimeanza kupenda Safari..ningekaa sehemu moja hadi sasa ningekuwa nishachizika kwa stress.Umeanza kupenda safari.
Safi sana kutuliza akili.
[emoji4]Kumbe nimepatia eeeh.
Hiyo nilikuwa natoka kwa mkonga naelekea Kwedikwazu