Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jiran Kasie naomba urudie kutuma tena hii vocha, maana wakati unatuma mimi sikuwepo online..[emoji38]

Ninatumia halotel

Aaahahahahaa jirani unakwama wapii...?

Imepata mtu kimya kimya...?

Halafu nahisi mtu kachukua namba hapa kampa mtu ambae hata hayupo JF ili atest kama kweli ni vocha.

Usijali jirani, iko siku yako.
 
Aaahahahahaa jirani unakwama wapii...?

Imepata mtu kimya kimya...?

Halafu nahisi mtu kachukua namba hapa kampa mtu ambae hata hayupo JF ili atest kama kweli ni vocha.

Usijali jirani, iko siku yako.
[emoji1][emoji1][emoji13]sikuwa online, nakuja nakutana na mzigo wa maana.....Sasa hivi nitakuwa nakunyemelea kwa karibh zaidi....
 
Bagamoyo moja
IMG_20210627_134413_3.jpg
 
Back
Top Bottom