Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa huko ni kukariri maisha

Siyo wote wenye umri huo na hawajaolewa basi ni "sizitaki mbichi hizi"

Kuna wengine nawajua ni wana wapenzi kabisa wanaotaka kuwaoa ila wao wanasema hapana bora waachane kuliko kuingia kwenye ndoa

Nimegundua ndoa wala siyo nature ila ni wabongo tu ndiyo tunalazimisha iwe nature mbona kwa wazungu kuna watu wanaishi tu bila ndoa na wana maisha mazuri yenye furaha

Na mtu kuamua kutokuoa au kutokuolewa ilikuwepo tangu enzi za biblia na hakuna andiko linalomkataza mtu kuwa single ili mradi tu asifanye uzinzi wa aina yoyote ile
Kwa Tanzania hii hakuna anayeamua kutokuolewa,basi tu inatokea.
Kutokuoa kuna wanaoamua ,ila baadaye muda unavyozidi kwenda,,wanaanza kuwa na uhitaji.
 
Tuwe makini wakuu...haijalishi uko na Mjapani au Mzungu... Discovery 4 hio
Screenshot_20210706-182100.png
Screenshot_20210706-182047.png
 
Back
Top Bottom