Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Asante sana dada kwa kujali.Ukitaka kuzuru Kariakoo
Njoo nitakushika mkono
Utapata na pa kulala free (hotel)
Nitakutafuta,,,siku nikija kutembea huko.
Shida yangu ni mtu(mwenyeji)wa kunitembeza tu huko kariakoo.. sehemu ya kulala(Kuishi) ipo,,,ila tupo wote si wenyeji.