Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yaani unatamka elfu 11 tu!
Tayari wewe nj tajiri.

Watu wanaishi chini ya 1USD per day.

Yule wa kutembea kwa mguu si alikuwa anatafuta sifa,hivi kwamba hamkumgundua?
Muulizeni Mikumi alipitaje.

Hela ikishakuwa ya mawazo mtu hawezi kuiunguza tena kwenye nauli.
Yaani kula ale kwa shida,halafu ajilipue tena kuchoma nauli eti anaenda kutembea!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kazi kweli kweli TZ11 maana yake miguu mama

Halafu hauwezi kujiita tajiri kwa kuwa eti una elfu kumi na mwingine hana yaani utajiri haujawahi kupimwa kwa njia hiyo hata siku moja

Yaani ni sawa uwaweke vilema wawili mmoja hana miguu tu na mwingine hana miguu na mikono halafu uanze kumuambia yule ambaye hana miguu tu kuwa yeye siyo kilema eti kwa kuwa kuna mwingine hana miguu na mikono kabisa

Hapo wote ni vilema ila wamezidiana tu ukilema na iko hivyo hata kwenye umasikini yaani mtu ambaye hana kabisa pesa na yule ambaye pesa za kutatua shida mbali mbali anazipata kwa kuungaunga wote ni masikini sema tu wamezidiana viwango maana hata matajiri wenyewe wamezidiana viwango

Mtu kuishi chini ya USD 1 kwa siku haimaanishi kuwa hiyo pesa ni kubwa kiasi cha kusema eti mtu anayeweza kupata zaidi ya hiyo (hata kama ni kwa kuungaunga) basi tayari ni tajiri

Wewe kwa vile siyo hobby yako wala starehe yako ndiyo maana unaongea hivyo ila jiulize hata wale ambao starehe yao kubwa ni pombe au wanawake unakuta kula yake tu ni ya shida na anapata hela kwa kuungaunga ila kila hela anayopata anaenda kuunguza maini au anahonga tu wanawake lakini ni masikini apeche alolo

Sasa kuhusu huyo jamaa ukisema alikuwa anatafuta sifa utakuwa unatoka nje ya mada maana kutafuta sifa ni jambo moja na kuweza kufanya kile kitendo ni jambo jingine yaani cha msingi hapa ni kwamba aliweza kutembea na kukamilisha safari yake KWA MIGUU BILA KUTUMIA USAFIRI WOWOTE hayo mengine ya alifanyajefanyaje wala hata hayahusiani
 
Ikishakuwa kufanya kwa sifa tayari hiyo siyo hobby..na Mimi naongelea kusafiri kama hobby.

Ukweli unabaki kusafiri kwa hobby kunaambatana na hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka kuniambia hao wote wanaoishi chini ya hiyo poverty line wote hawajawahi kabisa kusafiri hata toka wilaya moja hadi nyingine au mkoa mmoja hadi mwingine (hata kwa miguu) tangia wanazaliwa hadi wanakufa
Yawezekana wameshawahi kusafiri ila walisafiri kwa shida ,na si hobby.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe anaendelea mbele zaidi!
Basi huyo ni tajiri.

Jamaa alisema unaweza kusafiri nchi moja hadi nyingine pasi na kuwa na hela,, nikatoa huo mfano.

Huwezi toka DSM hadi Kenya au Malawi bila hela,unafikaje?
Labda kwa lift.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaendelea mbele lakini kwa miguu halafu kwani kuvuka border lazima utokee DSM tu
 
Back
Top Bottom