Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Si alizinunua ama!
Hakuna anayezaliwa na nguo mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tajiri hawezi kukaa miaka bila kununua nguo ukiona amepitisha hiyo miaka ujue huyo siyo tajiri

Tofautisha kati ya kuvaa kupendeza na kuvaa kujisitiri yaani nguo lazima utanunua tu hata kama haupendi kuvaa maana yake wewe unavaa tu kujisitiri lakini nguo lazima utanunua tu hakuna cha hiari hapo

Ukiwa masikini ndiyo utakaa miaka yote hiyo bila kununua
 
Mimi sijaona masikini humu
emoji4.png
Tupo
Mimi na wewe ...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tajiri hawezi kukaa miaka bila kununua nguo ukiona amepitisha hiyo miaka ujue huyo siyo tajiri

Tofautisha kati ya kuvaa kupendeza na kuvaa kujisitiri yaani nguo lazima utanunua tu hata kama haupendi kuvaa maana yake wewe unavaa tu kujisitiri lakini nguo lazima utanunua tu hakuna cha hiari hapo

Ukiwa masikini ndiyo utakaa miaka yote hiyo bila kununua
Unaweza ukavaa kujisitiri na ukapendeza.
Na ukishaweza kununua nguo na hautembei uchi tayari wewe si masikini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo bongo movie ni maskini ? maana wanatembea uchi.. haya alafu wote hapa tunakuwa kama maskini.. kitandani huwa tunabaki uchi hata masaa 72...
Wanatembea uchi na kusafiri uchi?
Kanionyeshe basi hiyo mitaa wanayotembea uchi wa mnyama nikawaone.

Kama wanatembea uchi na wana nguo za kuvaa ila hawajavaa hao siyo masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hata mlo tu wanaunga,unadhani wanaweza kupata nguvu za kuunga kusafiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kusave hata 10 yrs kusafiri.

Unaweza safiri kwa bajeti mbalimbali kupunguza gharama.

Back packers toka ulaya wakija africa kwanza wanafikia kwenye hostels, wanapanda economy, wanatafuta cheap destinations na attractions.

Mwisho wa safari unaweza kuta gharama zote zinaishia $1,000 - $2,000.

Kama unasafiri ndani ya Tz, unaweza tumia public transport, cheap lodges, cheap attractions. Mpaka unarudi umeshatumia not more than 300K.
 
Wewe unaona yupo timamu?
Halafu huyo jamaa alisafiri kwa ajili ya mechi,hakusafiri kwa sababu anataka ajifurahishe tu kutembea hadi Dar na kurudi.

Ongezea na wengine ambao huwa wanasafiri tu kwa miguu mikoani na wanafanya kwa hobby tu!




Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh mwanzo ulisema alisafiri kutafuta sifa tu na sasa hivi unasema tena alisafiri kwa ajili ya mechi tu

Haya hebu na wewe safiri kwa huo umbali na huo muda kwa ajili ya kuangalia mechi tu kama ni rahisi

Inahitaji mtu awe na hobby ya kusafiri ndiyo afanye hayo ila kama kusafiri siyo hobby yako lazima tu uanze kuleta kiswahili kirefu oohh sijui pesa sijui sifa
 
Back
Top Bottom