Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usile kabisa mkuu
Uonae tunachokisema kwamba chakula si cha kulinganishwa na mambo ya ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezungumzia kitu muhimu, kama namba inaanza sex alafu chakula.. SEX ukimaliza hata ukilala unaamka kama mpya, ukila chakula ukalala unaamka umechoka.. nyie acheni sex kufananisha na huo utopolo
 
Nimezungumzia kitu muhimu, kama namba inaanza sex alafu chakula.. SEX ukimaliza hata ukilala unaamka kama mpya, ukila chakula ukalala unaamka umechoka.. nyie acheni sex kufananisha na huo utopolo
Kitu muhimu definition yake ni nini???

Kwangu mimi ni kitu ambacho bila hicho huwezi Kuishi.

Sasa hapo ukikosa sex Unaweza kuishi tu,je, ukikosa chakula unadhani Unaweza kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom