Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Atakuwa ndugu yake na yule aliyesema ana 105 sijui 110[emoji1787][emoji1787]Wivu haukuji bure bure. Itakuwa aliyefuta ni kifutu [emoji23] kipipa cha haja
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ndugu yake na yule aliyesema ana 105 sijui 110[emoji1787][emoji1787]Wivu haukuji bure bure. Itakuwa aliyefuta ni kifutu [emoji23] kipipa cha haja
Mmeukubali ukweli ki aina sema mnaona noma kukuubali.. SEX noma sana, ndio maana Mungu akapiga pin, anajua mambo yake, ila hakuna sehemu kapiga pin msosi.. acha ile kitu bwana weeeeSawa[emoji23]
Tafuta sex wiki nzima,usile chakula,uone kama njaa haijakuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo chakula?Ndio
Basi wote tunaishi fresh bila shida, sex sanax chakula kidogo
Padre hawashiriki na ni kundi linaloongoza kwa usmart kichwani.Lini ulishiba chakula ? kula nyie kila siku mnataka kula na ndivyo ilivyo sex.. chakula kwa tumbo, sex kwa brain ndio utajua kipi muhimu
yah, maana hata sex inaanzi mwili, ila ina effects rohoni na mwilini.. ile kitu acha tu..Siyo chakula?
Basi wewe mwenzetu ni wa tofauti.. utakuwa unaishi rohoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usile kabisa mkuuBasi wote tunaishi fresh bila shida, sex sanax chakula kidogo
Wewe ni msemaji wao ?
Mmeukubali ukweli ki aina sema mnaona noma kukuubali.. SEX noma sana, ndio maana Mungu akapiga pin, anajua mambo yake, ila hakuna sehemu kapiga pin msosi.. acha ile kitu bwana weeee
Depal mchukue kaka yako[emoji1787]yah, maana hata sex inaanzi mwili, ila ina effects rohoni na mwilini.. ile kitu acha tu..
Sijasikia.Wewe ni msemaji wao ?
Hujasikia baadhi ya makasisi wanachofanya ?
acha nikapige kwanza mambo yangu, naona brain inahitaji kitu
Nimezungumzia kitu muhimu, kama namba inaanza sex alafu chakula.. SEX ukimaliza hata ukilala unaamka kama mpya, ukila chakula ukalala unaamka umechoka.. nyie acheni sex kufananisha na huo utopoloUsile kabisa mkuu
Uonae tunachokisema kwamba chakula si cha kulinganishwa na mambo ya ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tafuta usikie, ila usiwe msemaji wao
Kitu muhimu definition yake ni nini???Nimezungumzia kitu muhimu, kama namba inaanza sex alafu chakula.. SEX ukimaliza hata ukilala unaamka kama mpya, ukila chakula ukalala unaamka umechoka.. nyie acheni sex kufananisha na huo utopolo
Hebu sema wamefanya nini?Basi tafuta usikie, ila usiwe msemaji wao
Kitu ambacho ukikosa hauwezi kuishi ni Mungu tu na pumzi yake.Kitu muhimu definition yake ni nini???
Kwangu mimi ni kitu ambacho bila hicho huwezi Kuishi.
Sasa hapo ukikosa sex Unaweza kuishi tu,je, ukikosa chakula unadhani Unaweza kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa uchi? [emoji3][emoji12][emoji28][emoji857][emoji13]Kumbe nayo ni road trip eeh!
Sikujua.
Basi kama ndio hivi kila siku nitaleta picha zangu za trip ninayopiga koridoni hapa nyumbani [emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kila mtu ana namna anavyo ona mkuu.. ndio maana naona sex muhimu zaidi na wewe unaoana chakula ndio zaidiHebu sema wamefanya nini?
Mimi si msemaji wao,na sidhani kama wanatafuta msemaji.
Ila mimi huwa nawarate kama kundi la watu smart hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwamba?[emoji23]Ukiwa uchi? [emoji3][emoji12][emoji28][emoji857][emoji13]
Huyo Mungu amekuumba,akakupa na pumzi,na ili uendelee Kuishi akakuwekea na chakula ule kwa sababu unaishi mwilini.Kitu ambacho ukikosa hauwezi kuishi ni Mungu tu na pumzi yake.
Haujui tu raha ya kukaa uchi