Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Uwashe Moto na njaa?Maana moto nitao uwasha wa siku 7 x 24... awwww... atakuja simulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwashe Moto na njaa?Maana moto nitao uwasha wa siku 7 x 24... awwww... atakuja simulia
Kitu ina hasara nyingi kuliko faida.
Atakufa 🤣🤣
Hilo siyo hitaji muhimu la binadamu mkuu sema ni vile tu binadamu wanajiendekeza vinginevyo unipe cases za watu kufa sababu ya kukosa sex kama ambavyo mtu anaweza kufa sababu ya kukosa chakula achana na hizo habari za kuuanahiyo kitu ina heshima yake, sio ya kuilinganisha na hayo mambo basics, hiyo ni zaidi ya basics needs.. utasikia kesi za watu wameua kwa ajiri ya hiyo kitu, ila sio kukosa nguo au chakula ndio utajua ni zaidi ya basiki niidi
Oohh basi kama ni hivyo hata hao wanaoishi chini ya dollar moja kwa siku siyo masikini tena maana nao wanakula na wanalala haijalishi wamekula vipi au wamelala vipiIli mradi umekula na umelala bila kujali umekula vipi au umelala vipi,wewe tayari si masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sex iliwekwa kwa ajili ya kuzaliana tu na siyo starehe ila kwa vile binadamu wanapenda anasa ndiyo wameifanya kuwa starehe wamejiendekeza na matokeo yake inawaendeshaKama SEX sio kitu muhimu, nyie mmetokea kwenye mchele eeh na maharage ? Asee nyie mnakosa itakuwa hamja experience na kujua hiyo ni zaidi ya chakula au kulala ndio maana watu wanapata hadi msongo wa mawazo na kujinyonga, SEX ipo connected na nafsi.. chakula kinaishi kwenye tumbo tu.. watu wanagongwa na magari kwa ajiri ya mambo yaliyo connected na sex, ila sio kwa kukosa chakula
Hivi unajua kuwa dawa kubwa ya ubongo ni kufanya tahajudi (meditation)Wapi ulisikia dawa ya brain ni chakula ?
ila uki sex akili hutulia na brain huanza chakata mahesabu vizuri kabisaa
Inabidi kutia tia diko tu hivyo hivyo 😅 japo kwa spana mkononi!Mie sipendi chakula by nature kwa amabe ameisha wahi niona au kukaa na mie automatic atajua tu, kwamba sipendi chakula .. kidogo humu Deeboyfrexh anaweza kujua.. chakua sipendi kabisa, zaidi natumiaga vitu moto moto kama kahawa .. endekezekni chakula tu mtapata corona
Hahahahahah mama utakanyaga waya hapo 😅 vichwa vitapiga shotiSex iliwekwa kwa ajili ya kuzaliana tu na siyo starehe ila kwa vile binadamu wanapenda anasa ndiyo wameifanya kuwa starehe wamejiendekeza na matokeo yake inawaendesha
Wanajiona kama hawawezi kuishi bila sex wakati kuna watu wanaishi bila sex kuanzia wanabalehe hadi wanakufa uzeeni hawapati matatizo yoyote hayo matatizo mnayaendekeza tu
Usifananishe msosi na vitu vya ajabu ambavyo ni anasa tu
Tofauti yao na wewe,wao wamedhindwa kudunduliza hako kalaki ambako wewe umedunduliza.Oohh basi kama ni hivyo hata hao wanaoishi chini ya dollar moja kwa siku siyo masikini tena maana nao wanakula na wanalala haijalishi wamekula vipi au wamelala vipi
Maana kama wasingekuwa wanakula au wanalala basi wangekuwa wanakufa kila siku ila wengine bado tuko nao mitaani kila siku wanadunda tu hadi uzeeni
I rest my case now
Hiyo comment yake aisee [emoji23] huyu anatukazia fuvu tu hapa. Ila njaa anaijua vizuri.
Romeo nakugawa Holy Man au nikutoe sadaka ya jaribio la chanjo ya uviko.
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakufa [emoji1787][emoji1787]
Huzijui nyege wewe.Nani aliwahi kufa kwa kukosa sex?
Lakini njaa inaua mchana kweupe.
Anyway,,,
Naona tumegeuza garage kuwa chitchat,kumradhi wadau[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sex na chakula kipi cha muhimu?Huzijui nyege wewe.
Nyege zinasababisha ajali.
Kuna maamuzi unayafanya ukikosa utamu.
Usifanye mchezo na sex.
Habari ndiyo hiyo wote mimi na wao ni masikini ila tu tofauti ni hiyo uliyoiainishaTofauti yao na wewe,wao wamedhindwa kudunduliza hako kalaki ambako wewe umedunduliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea una meditate nini.. Unaweza meditate kitu ukipendacho. Mie na meditate sex, mwingine ana mediatet mizimu hadi ina mtokeaHivi unajua kuwa dawa kubwa ya ubongo ni kufanya tahajudi (meditation)
Kwenye meditation lazima uwe na object.Hivi unajua kuwa dawa kubwa ya ubongo ni kufanya tahajudi (meditation)
Ukishaweza kumudu kusafiri tayari wewe ni tajiri.Habari ndiyo hiyo wote mimi na wao ni masikini ila tu tofauti ni hiyo uliyoiainisha
Ndiyo sawa na mtu asiye na miguu tu na mtu asiye na miguu na mikono wote ni vilema ila tofauti yao ni idadi tu ya viungo ambavyo hawana
Narudia kama mtu huna pesa za kukidhi mahitaji yote ya muhimu ya binadamu na nyingine zikabaki kwa ajili ya kufanya maendeleo na kuweka akiba wewe NI MASIKINI and thats just that on that
Nani kakuambia sex ilikuwa kwa ajiri ya kuzaliana tu ? Ivi una mjua fisi maji kwanzaSex iliwekwa kwa ajili ya kuzaliana tu na siyo starehe ila kwa vile binadamu wanapenda anasa ndiyo wameifanya kuwa starehe wamejiendekeza na matokeo yake inawaendesha
Wanajiona kama hawawezi kuishi bila sex wakati kuna watu wanaishi bila sex kuanzia wanabalehe hadi wanakufa uzeeni hawapati matatizo yoyote hayo matatizo mnayaendekeza tu
Usifananishe msosi na vitu vya ajabu ambavyo ni anasa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]inategemea una meditate nini.. Unaweza meditate kitu ukipendacho. Mie na meditate sex, mwingine ana mediatet mizimu hadi ina mtokea