mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Kwa huko foleni ni given,mi nimeopt kupitia mwenge lugalo na sasa ndani ya dk kumi nakimbilia africana,kwa huko ukishapita round about ya malingo huwa nakaa katikati mpaka round about ya shabaha,ila kwa hadhi na ukubwa wa hilo gari tembea tuu mdogomdogo na hiyo queueNiko njia ya chini maeneo ya kawe Kwa mwinyi now