Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Below kwa yenye 60,000 to 99000 5w 30 itafaa ?Low kama 40,000-60,000 hivi. Aged over 100,000km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Below kwa yenye 60,000 to 99000 5w 30 itafaa ?Low kama 40,000-60,000 hivi. Aged over 100,000km
ShukraniHio tumia 5w40
safi kabisa, mnafukuza upepo
Mzee una plug ya Kasie 😂
Duh leo mnaniacha Hoi na comments zenu
sema nije na korosho kilo ngapi?
Karibu sana mi huwa nabadilika kulingana na mazingira kama bahari 😎Ni vile tu wewe ni extrovert, ungekuwa introvert ningekujia PM.
Karibu sana mi huwa nabadilika kulingana na mazingira kama bahari 😎
Iko DsmPlug yako iko wapi?
Iko Dsm
KaribuBasi sawa...!
Nahama hapa, Sitaki kuwakwaza wadau wa road trips.
Karibu
Ushatoka mkoa?
Ukiwa na vieitee kila ukipita unapewa heshima na attention kubwa.Wakuu tutafute pesa......sio kwa heshima na attention hii!