Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji1][emoji1][emoji1] hakuna kitu Kama hicho acha A-Class hata C-class huipati huko.Angalau Kahama wanajitahidi kidogo na mini cooper na 3 series kwa mbali Sana tena pale Audi A4,TT ndio zipo kidogo.Ila Benz haipo huko.
Arusha kuna hadi Bentley Bentayga

Unga limited kwenye godowns za wahindi benzi zinapishana kila leo.
 
😄😄😄 hakuna kitu Kama hicho acha A-Class hata C-class huipati huko.Angalau Kahama wanajitahidi kidogo na mini cooper na 3 series kwa mbali Sana tena pale Audi A4,TT ndio zipo kidogo.Ila Benz haipo huko.
Mkuu Nina jamaa yangu yupo Kahama ana Mercedes Benz E class W210 namba DK.. kaipaki inasumbua suspension na alitaka kuuza mwaka jana Bei ya kugawa akakosa raia.
 
Suspensions zimefanyaje! W210 too old hamna wa kununua! Ni kama unauza Mark2 Baloon
😂😂😂 Kuna siku nilikuuliza humu ukaielezea kuwa ni gari ya Zamani na haikufanya Vizuri sokoni.
Aliniambia shock up Zake zimechoka, na haitumii alihamia kwenye Toyota Crown Athlete Grs 180 saizi yupo na Grs200 na ana back up ya Nissan.
 
Arusha kuna hadi Bentley Bentayga

Unga limited kwenye godowns za wahindi benzi zinapishana kila leo.
Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.

Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.

Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.
 
Hio gari niliona the year imetoka tu kwenye foleni inayotokea Arusha Airport kule! Yani gari imekuwa announced September mwezi November iko Chuga mtu ana push! Bentyaga ya rangi ya chocolate nadhani kama si red wine ile!😅
 
Back
Top Bottom