Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
kuna mtu wangu yupo shy na una benzi.. au shy ya wapi hiyo mkuu 😳😳😳Ndio mzee,shy hakuna benzi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mtu wangu yupo shy na una benzi.. au shy ya wapi hiyo mkuu 😳😳😳Ndio mzee,shy hakuna benzi mkuu.
😄😄😄 hakuna kitu Kama hicho acha A-Class hata C-class huipati huko.Angalau Kahama wanajitahidi kidogo na mini cooper na 3 series kwa mbali Sana tena pale Audi A4,TT ndio zipo kidogo.Ila Benz haipo huko.kuna mtu wangu yupo shy na una benzi.. au shy ya wapi hiyo mkuu 😳😳😳
Arusha kuna hadi Bentley Bentayga[emoji1][emoji1][emoji1] hakuna kitu Kama hicho acha A-Class hata C-class huipati huko.Angalau Kahama wanajitahidi kidogo na mini cooper na 3 series kwa mbali Sana tena pale Audi A4,TT ndio zipo kidogo.Ila Benz haipo huko.
Hio Ni Arusha babu,Arusha mwaka 1962 Safari hotel(kwa Sasa ikiitwa New Safari hotel) wazungu wame act movie pale. Sasa jiulize huko mikoani 1962 walikua na Hali gani ?Wako mbele kitambo hao.Arusha kuna hadi Bentley Bentayga
Unga limited kwenye godowns za wahindi benzi zinapishana kila leo.
😅😅😅😅😅😅 kumbe we ni kaoga hivyo hahahah nimecheka sana napenda sana nyau!
Huyo nyau kanichekesha hapo kwenye nyiee, woiii. Nyau wa kichaga huyo 😂😅😅😅😅😅😅 kumbe we ni kaoga hivyo hahahah nimecheka sana napenda sana nyau!
Hahahaha Clavia nyepesi sana labda uipakilie viroba vya michele nyumaKuna magari bana yakiwa over speeding me hapana kwa kweli. Unimalizie kisahani kwenye clavia? Kikiruka hewani je?
Huyo nyau kanichekesha hapo kwenye nyiee, woiii. Nyau wa kichaga huyo 😂
Mkuu Nina jamaa yangu yupo Kahama ana Mercedes Benz E class W210 namba DK.. kaipaki inasumbua suspension na alitaka kuuza mwaka jana Bei ya kugawa akakosa raia.😄😄😄 hakuna kitu Kama hicho acha A-Class hata C-class huipati huko.Angalau Kahama wanajitahidi kidogo na mini cooper na 3 series kwa mbali Sana tena pale Audi A4,TT ndio zipo kidogo.Ila Benz haipo huko.
Suspensions zimefanyaje! W210 too old hamna wa kununua! Ni kama unauza Mark2 BaloonMkuu Nina jamaa yangu yupo Kahama ana Mercedes Benz E class W210 namba DK.. kaipaki inasumbua suspension na alitaka kuuza mwaka jana Bei ya kugawa akakosa raia.
😂😂😂 Kuna siku nilikuuliza humu ukaielezea kuwa ni gari ya Zamani na haikufanya Vizuri sokoni.Suspensions zimefanyaje! W210 too old hamna wa kununua! Ni kama unauza Mark2 Baloon
😄😄😄 Unaona sasa mjanja wao wa huko kahama kaona kwake hio ndio Benz ya maana Sasa.Suspensions zimefanyaje! W210 too old hamna wa kununua! Ni kama unauza Mark2 Baloon
😄😄 Ila huyo jamaa ako anaonekana Ni wale jamaa wa old school kwahio model aliyoichagua mkuu.Mkuu Nina jamaa yangu yupo Kahama ana Mercedes Benz E class W210 namba DK.. kaipaki inasumbua suspension na alitaka kuuza mwaka jana Bei ya kugawa akakosa raia.
Hapana Kahama Range Rover, Bmw X5 watu wanazo, Kuna raia hawapendi show off kama Kiba.😄😄😄 Unaona sasa mjanja wao wa huko kahama kaona kwake hio ndio Benz ya maana Sasa.
Clavia 50 bei gani? Nazihitaji leo leoHahahaha Clavia nyepesi sana labda uipakilie viroba vya michele nyuma
Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.Arusha kuna hadi Bentley Bentayga
Unga limited kwenye godowns za wahindi benzi zinapishana kila leo.
Sijajua ila bei zake za mkononi ni 5m or lessClavia 50 bei gani?
Mkuu hebu nisaidie SUZUKI GRAND ESCUDO ipoje? Spea, ulaji wa mafutaSijajua ila bei zake za mkononi ni 5m or less
Suzuki grand ni ngumu sana ila ulaji inakula tu kama harrier japo ina 2000cc! Spear zake sio ishu kama una hela!Mkuu hebu nisaidie SUZUKI GRAND ESCUDO ipoje? Spea, ulaji wa mafuta
Hio gari niliona the year imetoka tu kwenye foleni inayotokea Arusha Airport kule! Yani gari imekuwa announced September mwezi November iko Chuga mtu ana push! Bentyaga ya rangi ya chocolate nadhani kama si red wine ile!😅Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.
Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.
Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.