Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran

Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa

Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Pole sana boss.

Huyo jamaa amekuokoa parefu sana.

Ungechukua namba mkale mbuzi siku ingine.
 
Mungu mkubwa kaka, watu wema bado wapo duniani!
 
Kwa mkasa huu, kwa crown, sipati picha ingekuwaje...

Pole sana mkuu
 
Pole sana ila bolt siku ingine toa moja kila tairi funga zinapokosekana, ikipungua moja sio issue.
 
RRONDO hapa unapafahamu.. Trip za town anae jua code
1CE4D310-A09D-495E-927E-7C2B88DBB75B.jpeg
 
Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran

Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa

Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Duh poleni, na hongera kwa jamaa kuweza kujali wengine.
 
Hiyo inatokea sana ..unaenda fanta service gari..mafundi wanafungua vituz hawarudishi vizuri ndo madhara yake..kama unaweza service fanta siku kadhaa kabla ya safari..siyo unafanya service hadi usiku ili kesho udamshe
Haraka mbaya sana. Juzi juzi hapa nimecheki coolant imepungua nikaongeza kidogo. Nikakurupuka nikaondoka kumbe sijafungua mfuniko uko juu ya engine top cover. Nimeendesha hadi petrol station almost 15km naweka mafuta mara taa nyekundu STOP CHECK COOLANT imewaka. Nikapaki pembeni kufungua bonnet expansion tank iko wazi kifuniko kiko juu ya engine!
Ikabidi ninunue maji ya Kilimanjaro niongeze,zilienda Lita 3 ila hakukuwa na madhara mengine yoyote.
 
Ni noma..unamwambia fundi acheki breakpads anacheki..kurudishia tairi anawapa vijana...haraka haraka nati wanaegesha tu..wewe kesho unanza ligi road lazima yakukute..au wanapuliza air filter alaf hawarudishi vzuri u unategemea nn
 
Back
Top Bottom