Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuoa au kuolewa kwenu hakuwafanyie nyie kuwa bora zaidi ya wanaume au kuwa mna nguvu kuliko Man. Sie tunaendelea kubaki juu yenu
Ohoo nimeshakuambia siyo ndoa zote za siku hizi mwanaume yuko juu wengine washafanyiwa coup d'etat kitambo tu ila wakitoka nje wanajifanya vidume

Mtaongea yote ila mwisho wa siku kuoa mtaoa tu kwa sababu bado mnawahitaji wanawake hata msipolikubali hili

Mnafikiri mkinyimwa hizo naniliu mtaenda kufanya na wanyama au mtaenda kuzalisha wanyama
 
mtaanzia wapi kutunyima wakati mna njaaa 😂😂😂😂 mnapenda vitu vizuri vizuri lazima tu mzilete tuzivuruge viruge
 
Pia sio mbaya maisha kusaidiana, Mwanamke akiwa nacho ni vyema na mume asipokuwa nacho wanasaidiana. Mbili ni bora kuliko moja kibaya ndani ya nyumba ni kushindani nguvu
Ewaa hapa sasa umeongea na umerudi kwenye mada tuliyokuwa tunajadiliana na bwana extro

Sasa kama maisha kusaidiana kwanini wanaume hamtaki kusaidia wake zenu majukumu yao ilihali ninyi ya kwenu wanawasaidia

Maana kumbuka ukimsaidia mkeo majukumu yake haimaanishi kuwa eti mshakuwa sawa au eti ndiyo atakuwa juu yako hapo ndipo mnapomiss point
 
Sasa si ndiyo nakuambia kuwa na wanawake wengi wa siku hizi nao hawataki ndoa ndiyo maana wengine anatembea na mume wa mtu na anajibebesha mimba makusudi kabisa ili mwisho wa siku asiolewe alee mtoto peke yake

Yaani siku hizi siyo tu ninyi ndiyo mnaamua kuwazalisha wanawake bali hata wao wenyewe wanajibebesha mimba makusudi ili wawe single mothers walee watoto kivyao bila usumbufu maana hawataki tena stress za ndoa

Yaani hapa point yangu ni kwamba ninyi mnataka wanawake waendelee kupapatikia ndoa na kuiona ni dili sana ili waendelee kuwanyenyekea muwaoe kitu ambacho ni tofauti kwenye dunia ya sasa maana meza zishapinduliwa

Wanawake nao hawataki ndoa hivyo pelekeaneni moto tu halafu kila mtu ashike hamsini zake hakuna kung'ang'aniana na ukiona mwanamke anakug'ang'ania ujue ana njaa tu na anaona hawezi ishi bila kumtegemea mwanaume

Kwahiyo ninyi mkipeleka moto au kuzalisha na kuacha msifikiri mnawakomoa wanawake tena ndiyo mnakuwa mmewasaidia maana hamuwapi stress za ndoa umemzalisha na matumizi ya mtoto utatakiwa utoe ilihali haujamuoa
Teh teh hatukatai kuwa wapo wanawake mazuzu wanaokubali kufanya hivyo na ndiyo hao muende mkawagombanie muwaoe maana wako wachache sana na msipochangamka mkajichelewesha kuoa huko mbeleni hamtawakuta kabisa maana wanaelekea kuisha
 
Ewaa hapa sasa umeongea na umerudi kwenye mada tuliyokuwa tunajadiliana na bwana extro

Sasa kama maisha kusaidiana kwanini wanaume hamtaki kusaidia wake zenu majukumu yao ilihali ninyi ya kwenu wanawasaidia

Maana kumbuka ukimsaidia mkeo majukumu yake haimaanishi kuwa eti mshakuwa sawa au eti ndiyo atakuwa juu yako hapo ndipo mnapomiss point
Kwenye nyumba na maisha ya ndoa ni watu wawili wapo kusaidiana na kukamilishana. Kuna mgawanyo wa kimajukumu pia kutokana na mtindo wa maisha ya watu husika ukichagizwa na background zao.. Kufua au kuosha vyomba ni swala jepesi mie mwenyewe huwa naondoa vyomba na kuosha nikiona mwenzangu kachoka au kuna kitu anafanya na mie kama nikiwa sina cha kufanya. Mkisha kuwa wawili nyie ni wa moja ni mda ( time ) ndio ita indicate nani afanye nini .. pia doundation za malezi yetu zimejengeka kwenye fikra za watu wengi hizo huondoka kutokana na ukweli kuingia katika fikra za wapenzi au wana ndoa. Sumu kubwa ndani ya ndoa ni kushindania nguvu , na kutojua kusudi la ndoa
 
Wanawake wenye hofu ya Mungu kama mimi hapa wanaelewa maana ya ndoa. Ndoa haililiwi wala haitafutwi, ndoa ni baraka na kama ni Baraka Mungu hufungua mrango wa ndoa kwa watu wake, ndoa sio ya kila kitu ni kama vile ilivyo peponi sio ya kila mtu . Ndoa ni baraka na kuna vitu kwenye maisha havisogei hadi uwe kwenye ndoa
Kumbe mnaujua umuhimu wa ndoa eh sasa hayo maneno si ndiyo mnatakiwa muambiane ninyi wanaume mnaosema "hatuoi tunapeleka moto tu" mkidhani mnawakomoa wanawake
 
kwani hatuwakomoei ? mfano mie nikwichi kwichi na wewe, alafu nika record na video mubashara nikavujisha nani anae pata aibu kubwa zaidi ? Mwanamke ni wa thamani kubwaaa sanaa na ndio maana pia thamani yake hushuka ghaflaa sanaaa anapofanya utopolo.. Mwenye vingi = Kwake hutakwa vingi
 
mtaanzia wapi kutunyima wakati mna njaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnapenda vitu vizuri vizuri lazima tu mzilete tuzivuruge viruge
Khaa hivi unafikiri uhitaji wa pesa kwao ni sawa na uhitaji wa ngono kwenu

Mwanamke anaweza kukaa hata mwaka bila kufanya na pesa akatafuta zake akapata

Kimbembe kinakuja kwenu mliofanya ngono kama chakula halafu mtu akunyime teh
 
Kwenye nyumba na maisha ya ndoa ni watu wawili wapo kusaidiana na kukamilishana. Kuna mgawanyo wa kimajukumu pia kutokana na mtindo wa maisha ya watu husika ukichagizwa na background zao.. Kufua au kuosha vyomba ni swala jepesi mie mwenyewe huwa naondoa vyomba na kuosha nikiona mwenzangu kachoka au kuna kitu anafanya na mie kama nikiwa sina cha kufanya. Mkisha kuwa wawili nyie ni wa moja ni mda ( time ) ndio ita indicate nani afanye nini .. pia doundation za malezi yetu zimejengeka kwenye fikra za watu wengi hizo huondoka kutokana na ukweli kuingia katika fikra za wapenzi au wana ndoa. Sumu kubwa ndani ya ndoa ni kushindania nguvu , na kutojua kusudi la ndoa
Sasa kuna wanaume kama kina extrovert wanakuambia ni mwiko mwanaume kumsaidia mwanamke kazi za ndani yaani mfano hata kama mmetoka kazini wote mmerudi jioni mwanamke ndiyo anatakiwa aingie jikoni afanye kazi zote peke yake huku mume amekaa sebuleni anasubiri chakula
 
kwani hatuwakomoei ? mfano mie nikwichi kwichi na wewe, alafu nika record na video mubashara nikavujisha nani anae pata aibu kubwa zaidi ? Mwanamke ni wa thamani kubwaaa sanaa na ndio maana pia thamani yake hushuka ghaflaa sanaaa anapofanya utopolo.. Mwenye vingi = Kwake hutakwa vingi
Hiyo mitazamo ni jamii zetu tu za kiafrica ndiyo imeitengeneza wala haiko hivyo duniani kote
 
Umechoma chanjo ? ukifanya maisha ya kimahusiano based na dunia ni tatizo. Author wa ndoa na mtu ni Mungu jifunze kutokea huko.. Mwanamke lazima awe mneyenyekevu kwa mume kama Sarah alivyo kwa bwana wake Ibrahim ila shida watoto wa siku hizi hamumpendi Mungu na neno lake
 
Sasa kuna wanaume kama kina extrovert wanakuambia ni mwiko mwanaume kumsaidia mwanamke kazi za ndani yaani mfano hata kama mmetoka kazini wote mmerudi jioni mwanamke ndiyo anatakiwa aingie jikoni afanye kazi zote peke yake huku mume amekaa sebuleni anasubiri chakula
Hapana huo sio uanaume, huo ni ushamba. Mala mia tukanunue chakula out kuliko tumerudi tumechoka mtu aanze kimbizana jikoni kwangu haipo hivyo. But mwisho wa siku ndoa inahitaji hofu ya Mungu. Kama hakuna hofu ya Mungu hakuna ndoa hakuna lolote
 
Khaa hivi unafikiri uhitaji wa pesa kwao ni sawa na uhitaji wa ngono kwenu

Mwanamke anaweza kukaa hata mwaka bila kufanya na pesa akatafuta zake akapata

Kimbembe kinakuja kwenu mliofanya ngono kama chakula halafu mtu akunyime teh
huwezi kosa papa ya kula .. zimejaa humu zipo cheap hakuna mdada wa kutunyimia swala la mtu kutokufanya ni maamuzi wapo pia wanaume wengi wanakaa hata miaka miwili mitatu
 
Back
Top Bottom