Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Natamani nihadithie kashkash za kwenye mwendokasi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah,nikijichanga hela,kitu cha kwanza kununua ni gari hata ka passo tu.View attachment 1942461
Pole dada Saint Anne huo Usafiri kupanda lazima utumie msuli, ukisimama unaweza ukakutana na bazazi anakuchobea mgongoni.
 
Miaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishani

Ila ni vyema ajenge nyumba ili siku akikwama aiendeshe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siyo mbaya labda wengine wanaona fahari kupigania siti kwenye madaladala, acha wajenge kwanza wasije wakafa wakapata Aibu kuwa walishindwa kuacha hata kakibanda.
 
Mwendokasi kupanda ni kwa foleni.
Imagine[emoji23]hapa naenda sota Kwenye foleni ya kupanda mwendokasi[emoji23]

Wakati wa kwenda afadhali kuna usimizi na utaratibu mzuri,,wakati wa kurudi kituo nilichopandia Jana[emoji119]walitaka watu wawameze wasimamizi kwa hasira.

Gari ni muhimu mno.
Hizo foleni si zimeanza juzi tu hapa, zamani watu walikuwa wanapigana vikumbo hadi wanaharibu milango ikawa haifungiki automatically tena yaani dereva akibonyeza hola.

Na kwenye mwendokasi kuangushwa na kukanyagwa kisha watu wakapita juu yako ni jambo la kawaida sana, mabasi yao mengi sasa hivi yameharibika yamepaki tu pale gerezani.

Ndiyo maana kupunguza uharibifu wakaona waanze kuweka foleni, tena napo ni kwa vile vituo vikubwa ambapo gari ndiyo zinaanzia na pia suala la level seats bado ni changamoto.

Sasa ndiyo nikajiuliza hiyo system ingeletwa na kwenye madaladala ingewezekana kweli maana si kila mtu anapanda mwendokasi, wabongo tushazoea kutumia nguvu tu yaani.
 
Wewe unaongelea miaka ile[emoji1][emoji38]
Hata Sasa foleni zipo Kwenye mwendokasi..
Jana kuna mtu akapanda ,akamuwekea mwenzie nafasi Kwa kuweka mzigo Kwenye siti..watu wamefika wakae anang'ang'ania seat eti amemuwekea mtu ambaye foleni yake haijafika[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walimshambulia,yaani Jana ilikuwa ni vituko[emoji1787][emoji1787]
Angalau kwenye mwendokasi ndiyo naonaga kuna utaratibu mzuri, kwenye madaladala watu wanawekeana siti vizuri tu na hakuna mtu anasema chochote ukichelewa kuwa mpole tu.

Na kwenye madaladala kumpisha kilema, mzee au mama mjamzito ni uamuzi tu ila kwenye mwendokasi hao watu wana siti zao kabisa na mtu mwingine haruhusiwi kukalia.
 
Hizo foleni si zimeanza juzi tu hapa, zamani watu walikuwa wanapigana vikumbo hadi wanaharibu milango ikawa haifungiki automatically tena yaani dereva akibonyeza hola.

Na kwenya mwendokasi kuangushwa na kukanyagwa kisha watu wakapita juu yako ni jambo la kawaida sana, mabasi yao mengi sasa hivi yameharibika yamepaki tu pale gerezani.

Ndiyo maana kupunguza uharibifu wakaona waanze kuweka foleni, tena napo ni kwa vile vituo vikubwa ambapo gari ndiyo zinaanzia na pia suala la level seats bado ni changamoto.

Sasa ndiyo nikajiuliza hiyo system ingeletwa na kwenye madaladala ingewezekana kweli maana si kila mtu anapanda mwendokasi, wabongo tushazoea kutumia nguvu tu yaani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kumbe utaratibu wameuweka hivi karibuni!

Ila pale gerezani utaratibu wao mbovu sana aisee,jamaa hata hawaangalii foleni ..Jana abiria walikasirika wakatamani wawapige wasimamizi[emoji1787]ila duniani kuna matukio nyie[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbezi kidogo wapo active.. Yaani ukiviruga mstari ukajipachika wanakuja kukutoa bila kujali ni mtu mzima au nani[emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Siyo mbaya labda wengine wanaona fahari kupigania siti kwenye madaladala, acha wajenge kwanza wasije wakafa wakapata Aibu kuwa walishindwa kuacha hata kakibanda.
[emoji23][emoji23]umeona eeeh!
Ukiwa na usaifiri unapunguza purukushani na usumbufu wa kugombana na watu.

Huku unajenga taratibu..ujenzi huwa hauishi haraka hasa Kwa watu wenye vipato vya kuunga unga.
Sasa fikiria miaka yote 10 umetanguliza kujenga huku unagombania daladala au foleni za mwendokasi.
 
Pole dada Saint Anne huo Usafiri kupanda lazima utumie msuli, ukisimama unaweza ukakutana na bazazi anakuchobea mgongoni.
[emoji38]
Mimi vituo vyangu ninavyopanda probability ya kupata siti ni kubwa..labda tu niamue mwenyewe kusimama.
Napandia gari linapoanzia route.

Asubuhi huwa nasimama Kwa sababu mbili;
Ili niwahi,sipangi foleni ya kukaa.
Pia ni sehemu ya kufanya mazoezi..maana nisiposimama hapo ndio basi tena hadi jioni.
Na huwa nasimama Sehemu zile zenye maungio ya gari au mwisho wa gari (Kwa magari Yale madogo)..hakuna purukushani za kubambiana.
 
Unayaogopea nini? Yan we ni kaoga ka vitu vingi.

Anzia cruiser za porini, hardtop nk
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kruza nimepanda sana miaka ya nyuma
Kuna siku kruza si ikapinduka, kulikuwa na utelezi barabara ya vumbi [emoji1787]nililia..akili za kitoto.

Kule gari kusererekea pembeni ni kawaida,ikiserereka dereva anairudisha.

Gari kubwa mno za kubabe nazitamani ila jinsi zilivyoning'inia juu ni changamoto.
 
Mimi sitaishia kutamani tu bali ndiyo aina ya maisha ambayo nimeyachagua ya kuishi mwenyewe

Tatizo wanawake wengi kinachowakwamisha ni ile kuhitaji kuhudumiwa na wanaume ndicho wanachosema

Lakini mwanamke ukiwa na pesa zako na siyo sex maniac unaweza kuishi mwenyewe na kuwa single vizuri tu

Ni kweli mkuu,hapo dildo na vibrator ikiwa imefungiwa kabatini muda wowote unaamsha popo ukiamua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kumbe utaratibu wameuweka hivi karibuni!

Ila pale gerezani utaratibu wao mbovu sana aisee,jamaa hata hawaangalii foleni ..Jana abiria walikasirika wakatamani wawapige wasimamizi[emoji1787]ila duniani kuna matukio nyie[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbezi kidogo wapo active.. Yaani ukiviruga mstari ukajipachika wanakuja kukutoa bila kujali ni mtu mzima au nani[emoji23][emoji1787][emoji23]
Sasa subiri kipindi cha mvua barabara nyingi zifurike zisipitike utalia, foleni ya abiria inatoka hadi nje ya kituo na gari ni za kusubiri masaa.

Na ninyi abiria wa Kimara na Mbezi ndiyo huwa mnajaza sana yale magari, mimi walichokuwaga wananikera ni kubadilisha routes tu ghafla.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Siku hizi wana gari nyingi sana,,route ziko specific na Kila eneo na route yake .
 
Back
Top Bottom