Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Mkali wa hizi kazi[emoji23][emoji23][emoji1787]vikija vi first year nipe connection basiii huwa vitamu sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkali wa hizi kazi[emoji23][emoji23][emoji1787]vikija vi first year nipe connection basiii huwa vitamu sanaaa
Nipo longuo apa napata [emoji200] na mbege swafi!Duh[emoji3]
Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake[emoji3]
Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika
Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula
Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri
Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani[emoji3]
Maskio,Nipo longuo apa napata [emoji200] na mbege swafi!
Mbung’aa Nang’ado
Kwa mama ndesa, maskio yanaitwa mambosho[emoji23][emoji23]Maskio,
Kwa Mama Ndesa ama
Kwa Mummy pub hapo CCP[emoji3][emoji848]
Hahahah ile mashine ina mzuka wakeFan lake pia linatoa sound fulani hata kwenye 4GR huipati.
Mwanamke hata akiwa mlinzi anataka mumjue yeye ni nani😅😅😅Kweli wanawake wengi huwa tunakuwaga wanoko sana makazini kuliko wanaume sijui shida nini. Na hili ni kwenye kada nyingi hasa sisi ambao tuna vyeo vya chini.
Aisee hii menu msimamo sana dah😜😜😜
[emoji3][emoji3]Aisee hii menu msimamo sana dah[emoji12][emoji12][emoji12]
Washavunja gari yetu pendwa
[emoji3]Mwanamke hata akiwa mlinzi anataka mumjue yeye ni nani[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahah likes lazimaMkuu ukirudi tunashiba 'likes'
Kuna ofisi moja pale Faykat Towers kuna mlinzi anakera ana sifa utafikiri yeye ndio CEO kumbe ndio incharge ya walinzi.[emoji3]
Huwezi jua labda Chombo ya bossKuna ofisi moja pale Faykat Towers kuna mlinzi anakera ana sifa utafikiri yeye ndio CEO kumbe ndio incharge ya walinzi.
Ulikuwa Rau au maduka ya chini mkuu.Duh[emoji3]
Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake[emoji3]
Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika
Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula
Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri
Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani[emoji3]
Njiapanda Segera[emoji3]Ulikuwa Rau au maduka ya chini mkuu.
HahaaaaaaNjiapanda Segera[emoji3]
Angekuwa mzuri ningesema ndio ila dah jau kishenzi af kala chumviHuwezi jua labda Chombo ya boss
itasukwa iletwe hukuWashavunja gari yetu pendwa