Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Madereva wengi wana papara sana halafu sio wazuri kujaji umbali,mwendo wake na mwendo wa anaekuja.
Kweli kabisa mie gari la manual kama hilo li TD42 siwezi kuhangaika ku overtake wakati naona mbele hapako clear!

Gari yangu tu lazma nibust overdrive ikiitika ndio natoka mwendo wa ngiri yani rpm inaweza ikavuta mpaka 7 ikiachia mwendo wa kupepea tu dkk 0 nimerudi site! Sitanuagi kindezi bila kuona mbele
 
Kweli kabisa mie gari la manual kama hilo li TD42 siwezi kuhangaika ku overtake wakati naona mbele hapako clear!

Gari yangu tu lazma nibust overdrive ikiitika ndio natoka mwendo wa ngiri yani rpm inaweza ikavuta mpaka 7 ikiachia mwendo wa kupepea tu dkk 0 nimerudi site! Sitanuagi kindezi bila kuona mbele
Mtu unaenda sehemu km500+ unashindwa kusubiri dakika 2-5 upate sehemu nzuri ya kupita?!
 
Mtu unaenda sehemu km500+ unashindwa kusubiri dakika 2-5 upate sehemu nzuri ya kupita?!
Watu wanajiaminigi sana yani unakuta hapo kilichowacost jamaa papara zao tu na kutokupiga hesabu za haraka. Yani ninachohisi ni kuwa inawezekana wote walitanua hawa!

Ractis alitanua akakata magari akajiwahi kurudi mbele ya basi kufika upande wake nae anaona Nissan imeiva inakuja usoni ikabidi aminye breaks ndio akajaa mbele ya basi na jamaa wa Nissan ikabidi aforce kuhama lorry likawa lishafika akabararuliwa na tyre za lorry na kurushwa juu ya roof ya ractis!
 
Tabia hizi wanazo sanasana wasukuma.

Mimi kuna shemeji yangu huyo yaani akikuta mtoto wake wa kiume yupo jikoni ni kesi.
Eti mtoto wa kiume hatakiwi kugusa jiko![emoji134]

Kuna wanaume yaani anakaa utadhani mlemavu,hafanyi kazi yoyote yaani..hata zile za usafi wa nje ambazo anaweza kufanya hafanyi..
Anasubiri tu kula na vyombo unamuoshea!

Unakumbuka uzi fulani mwanaume analialia humu eti mkewe hajamtengea maji ya kuoga bafuni[emoji38],huyohuyo mkewe ahudumie watoto,mkewe apike,afanye kila kitu..ukute ni mjamzito Halafu na maji ambebee!
Watu wakamwambia tafuta hela mkuu uweke Bomba la ndani chooni upunguze kulalamika

Ila hizi tamaduni sijui alitunga nani [emoji848]ifike muda zibadilishwe.,bila hivyo kutakuwa na mtifuano Sana.

Si ajabu tunajadili hapa kuna watu watatuona sisi siyo mawife materials,,yaani bongo mwanamke kuteseka ndio uwife material.
Uko sawa kabisa wife material, sema jamii zetu hizi nzito sana mbona mm nikiwahi home napika tu na wife akija anakula maisha yanaenda wanangu nawaosha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaweza pata mtu hana matatizo kabisa,ukiachilia mbali matatizo madogo madogo tu madhaifu ambayo kila mtu anayo .

Mimi najipa Moyo na ninaamini Mungu atanitendea nilivyoomba

Kuna muda ukifika utabadili mawazo.
Ni kweli uliye naye usimuache aende
 
Ndio maana huwa sipendi bus au lorry linikalie karibu mbele au nyuma
Nakuwa na amani kukiwa hamna gari mbele wala nyuma yangu. Naachaga following distance kubwa sana. Jitoe akili uniovateki uingie kwenye hiyo safe area yangu.... nikiwa na kichaa na pakiwa safe hutaamini ninavyoiziba chap unahangaika kurudi au kutafuta mnyonge mbele
 
Back
Top Bottom