cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Rangi tyuuh unejaliwa cc, tubadilishane [emoji7][emoji7]Seat ya mbele. Kimguu juu ya dashboard View attachment 1966681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi tyuuh unejaliwa cc, tubadilishane [emoji7][emoji7]Seat ya mbele. Kimguu juu ya dashboard View attachment 1966681
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zang mie lol.Maji yana wenyewe... juzi nimetoka kuingia na simu na key fob ya nissan kwenye swimming pool [emoji1787]
Kama hamna filter hii ndio rangi ya mtume S.A.WRangi tyuuh unejaliwa cc, tubadilishane [emoji7][emoji7]
Hapan rang ya [emoji515], [emoji7][emoji7][emoji7]Kama hamna filter hii ndio rangi ya mtume S.A.W
🤣🤣 twende nikakupige vyombo kwanza. Ushtue na mapafu hayo 🤒Rangi tyuuh unejaliwa cc, tubadilishane [emoji7][emoji7]
Ulifanikiwa kumuona? 🤣 Rangi ya Mtume ipo kwa Mobetto.Kama hamna filter hii ndio rangi ya mtume S.A.W
[emoji23][emoji23][emoji23] twende kesho tukapige ulabu,[emoji1787][emoji1787] twende nikakupige vyombo kwanza. Ushtue na mapafu hayo [emoji855]
Uwezo upo? Mtu mwenyewe wewe wa fruto[emoji23][emoji23][emoji23] twende kesho tukapige ulabu,
Yaan ile ingne nachukua kwel, jion ya kesh ntakua chuga. [emoji7][emoji7]Zoom in zoom out [emoji38]View attachment 1967344
C ntajifunza jomone au [emoji23][emoji23]Uwezo upo? Mtu mwenyewe wewe wa fruto
stori haijaisha mkuu. inaendeleaje?Maji yana wenyewe... juzi nimetoka kuingia na simu na key fob ya nissan kwenye swimming pool [emoji1787]
sado kwa maana ya mkoko unaoutumia.What do you mean, sado yenye rubber band..
Jamani 🤣🤣🤣sado kwa maana ya mkoko unaoutumia.
rubber band kwa maana ya gearbox (CVT).
Uko mshap. Maana nimeifuta chap.Yaan ile ingne nachukua kwel, jion ya kesh ntakua chuga. [emoji7][emoji7]
Mjapani ni mtu na nusu. Key fob inapiga mzigo kama kawa [emoji847]stori haijaisha mkuu. inaendeleaje?
Basi mwanga umenichekecha. Itakuwa rangi ya nabii hiiUlifanikiwa kumuona? [emoji1787] Rangi ya Mtume ipo kwa Mobetto.
. ..Boeing 747, nilipata hitilafu kidogo, nikataka kushift kwenda Airbus 380, lakini mambo yameshakaa vizuri..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]..Mungu ni mwemaHivi we upo? Nimecheka na mengi.
Daah ..Tz hii...[emoji119][emoji119][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]sado kwa maana ya mkoko unaoutumia.
rubber band kwa maana ya gearbox (CVT).
vipi asee!Jamani 🤣🤣🤣