Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi waage tunaenda mbeya, tukifika mitaa flani tunaweka kambi 🙂🙂
Muambie kuna kipindi huwa inagonga hadi 36°C. Hahaa atajua hajui.
Ikifika huko narudi Mbeya.Muambie kuna kipindi huwa inagonga hadi 36°C. Hahaa atajua hajui.
Binafsi ukiniuliza kati ya mvua na jua bora kipi nitakuambia bora jua. Lakini hapo hapo ukiniuliza kati ya joto na baridi bora kipi nitakuambia bora baridi yaani sipendi mvua na joto."nikiingia kwenye Ofisi zenye maair-condition nashangaa nakaa sana hata kama nina mishe"
Kati ya mvua na jua bora nini?
What's up Mzizima.
What's up DarSlum jiji la wavuja jasho.
-Kaveli-
Kumbe mvua pia ipo Dar?Binafsi ukiniuliza kati ya mvua na jua bora kipi nitakuambia bora jua. Lakini hapo hapo ukiniuliza kati ya joto na baridi bora kipi nitakuambia bora baridi yaani sipendi mvua na joto.
Ni mikoa michache sana hapa Tanzania inayoweza kubalance kuwa na baridi huku jua linawaka mfano Njombe na Mbeya. Ila Dar sasa unakuta mvua inanyesha halafu bado kuna joto daah.
Mvua ikinyesha dar ujue ni dili choo ndio vinazibuliwa humu humuKumbe mvua pia ipo Dar?
Itakuwa patashika sana[emoji2362]...kuna siku kijimvua kidogo tu kimenyesha nimepita Sehemu pananuka balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvua ikinyesha dar ujue ni dili choo ndio vinazibuliwa humu humu
Ndio ilivyo manzese magomeni ndio kazi zao hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ilivyo manzese magomeni ndio kazi zao hizi
Naaaam ndio maana yake hio[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo wanaachia mzigo uende na maji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utaratibu mzuri wa kuzibua vyoo[emoji134]Naaaam ndio maana yake hio
Unajua yale maeneo yana mchanga na maji kwa hio kuchimba choo kirefu mtu anaona gharama kwa hio wanachimba mashimo mafupi kuepuga gharamaHakuna utaratibu mzuri wa kuzibua vyoo[emoji134]
Kwahiyo kila mvua itakaponyesha watu wanasitisha kazi zao nyingine,wanaanza kuzibua vyoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua yale maeneo yana mchanga na maji kwa hio kuchimba choo kirefu mtu anaona gharama kwa hio wanachimba mashimo mafupi kuepuga gharama
Ndio hivyo sasa ili kukwepa gharama za kuleta gari kuchota uchafu huwa wanasubiri mvu ikinyesha wanafanya yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ardhi ya Dar naona asilimia kubwa ni mchanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utaratibu mzuri wa kuzibua vyoo[emoji134]
Kwahiyo kila mvua itakaponyesha watu wanasitisha kazi zao nyingine,wanaanza kuzibua vyoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh hapo SAWA.Nyumba nyingine hata gari za maji taka haziwezi kupenya option pekee ni mvua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!Ndio hivyo sasa ili kukwepa gharama za kuleta gari kuchota uchafu huwa wanasubiri mvu ikinyesha wanafanya yao
Hii nafasi wengine tunaitamani sana DepalNamkubali mnyamwezi wangu [emoji1787] ila tunashindwanaga kwenye kunisokomeza huko. Alishaleta mpaka baba kanituma 'hii siku nililia [emoji38]
Kweli kabisa Karma.. kuna wengine tuna elimu kubwa tu, na tulitamani sana tulitumikie taifa letu ila ndio hivo nafasi hazikupatikanaYeah wengi wanaomba kutokana na ukosefu wa ajira kutokana na kufeli shule. Lakini kumbuka kuna waliosoma pia yaani jeshi lina kila kada mkuu kuanzia madaktari marubani wahandisi waalimu et al na hawa mara nyingi majukumu yao ni tofauti na ya hao waliofeli.