Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wewe mzurulaji kweli kweli
Pole kwa safari mdogo wetu. Dsm-Mby mbali
Yaan hakika tunatoka pazuri,
Af hata hapajanoga sasa, km hostel za chuo yaan lol.Halafu kumbe ipo porini porini tu.
Mie naona km nyeupe ndo yataka sana usafi, rangi pendwa kwangu. [emoji7][emoji7]Gari nyeusi ndo inataka udobi wa mara kwa mara.
Gari nyeupe unaifutafuta kidogo inawaka.
Gari nyeuzi ikishika vumbi dawa ni kuiogesha, hakuna cha kufutafuta.
Nina gari nyeupe na nyeusi.
Nikiziosha siku 1 gari nyeupe naweza iosha hata baada ya week 2. Ila nyeusi ndani ya siku 4 inabidi ufikirie kuipiga udobi.
Duuuh ndo ushaingia homes? Ila mbali but kwetu n zaidi mweeeh, saiv, ingekua ndo mtambo wa iyovi kuifukuzia madaba lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji847]Duuuh ndo ushaingia homes? Ila mbali but kwetu n zaidi mweeeh, saiv, ingekua ndo mtambo wa iyovi kuifukuzia madaba lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mno yaaniPole kwa safari mdogo wetu. Dsm-Mby mbali
Ni kahostel kalikojificha vichakani huko.Af hata hapajanoga sasa, km hostel za chuo yaan lol.
Km kawaida yaako, mbele kabisa uwahi kufka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa yaan.I wish barabara yote ingekuwa kama pale kitonga
Mdogo wangu ulishaambiwa utachapwa we endelea tu [emoji23][emoji23]Af hata hapajanoga sasa, km hostel za chuo yaan lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo juu utadhan wanchuo wapo cafeteria,Mdogo wangu ulishaambiwa utachapwa we endelea tu [emoji23][emoji23]View attachment 2009460View attachment 2009461
Unarudi tena Dar eh
Yaani sijui waliwaza kuchukua ramani za majengo ya shule[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameacha kisa tunapacheka,
Na mommah Karma aliwahi kua palee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]