Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Dar kubaya[emoji846].Unarudi tena Dar eh
Narudi,
Nimekuja kutoa huduma mara moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar kubaya[emoji846].Unarudi tena Dar eh
Cafeteria za vyuo vyetu unazijua lakini mdogo wangu au wewe umesoma chuo nchi jirani eti [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo juu utadhan wanchuo wapo cafeteria,
Kwa hapo chumban, kdg panashawishi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngja next weekend niende nkajionee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana mnyama wako Sauli ametupita Igawa, na tumepishana dk chache tu kuingia Mbeya.Haha nilitaka nimquote cocastic bahati mbaya nikakuquote wewe ndiyo maana nikafuta [emoji3][emoji3]
Unafuatiliaga top 3 ya mabasi yanayowahi kufika kwa route ya Dar Mbeya? Hata Al Saedy pia yumo na ni kawaida yao kuchuana na Sauli yaani Sauli akiwa wa kwanza ujue Al Saedy yuko nyuma na siku Al Saedy akiwa wa kwanza ujue Sauli yuko nyuma!Jana mnyama wako Sauli ametupita Igawa, na tumepishana dk chache tu kuingia Mbeya.
Hilo gari naona wanalioverrate mno.
Nimegundua hizi gari zina mwendo wa kawaida, ila hazisimami muda mrefu njiani.
VW na Audi ni kitu kimoja. Nazungumzia sana VW kwasababu ndio naitumia ila ndio mnyonge kwenye Germany cars. BMW na MB wako level yao kwangu Mimi Kati ya BMW na MB, BMW iko juu.
[emoji38]Unafuatiliaga top 3 ya mabasi yanayowahi kufika kwa route ya Dar Mbeya? Hata Al Saedy pia yumo na ni kawaida yao kuchuana na Sauli yaani Sauli akiwa wa kwanza ujue Al Saedy yuko nyuma na siku Al Saedy akiwa wa kwanza ujue Sauli yuko nyuma!
Ule siyo mwendo wa kawaida kwa hizi tochi za miaka hii aise ni kwamba tu hata wewe ulipanda basi ambalo nalo linasifika kwa kuwahi kufika! Ungepanda Rungwe au mabasi mengine yanayotambaa kisha ukafika saa nne usiku ndiyo ungeelewa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hostel zetu zimezid kwa uzuri, kwa hiyo hotel, tuache utan mommah.Ni pazuri bhana msifananishe na hostel zenu, na ile view ya Milima acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisome nchi jiran wapiiih? Ndyo bhana km wapo cafeteria lol.Cafeteria za vyuo vyetu unazijua lakini mdogo wangu au wewe umesoma chuo nchi jirani eti [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo cc lol[emoji38]
Tuwahi kufika.
Nyuma nilipakia mizigo.
Ulikua na mizigo mingi saana, mweeeh [emoji23][emoji23]Kweli[emoji3]
Hiyo ni kutoka stand kuu kwenda nyumbani.
Yeah nilisikia Audi ni mtoto wa Volkswagen. BMW ziko vizuri sana aisee.VW na Audi ni kitu kimoja. Nazungumzia sana VW kwasababu ndio naitumia ila ndio mnyonge kwenye Germany cars. BMW na MB wako level yao kwangu Mimi Kati ya BMW na MB, BMW iko juu.
Hehe kwamba akina Sauli wafike saa 12 halafu kina Rungwe wafike saa 4 ukasemage wanapishana muda wa kusimama vituo tu? Hebu piga mahesabu hapo tofauti ya hayo masaa na muda wanaopishana kusimama kwenye hivyo vituo![emoji38]
Nilitaka niwahi kufika,pia nione huo mwendo wa maajabu ambao hizi gari zinatembea.
Ni mwendo uleule ambao hata akina Happy Nation wanatembea.
Nimeshangaa sauli inayosifika kwa kukimbia imetupita Igawa,napo tulisimama kujaza upepo..na mwendo wetu naona ulikuwa wa kawaida mno.
Sijaona kama yanakimbia sana, ila tu wanaenda sana na muda vituoni,,hawataki kuchelewa kabisa hotelini na katika kuchimba dawa.
Rungwe lile gari halitembei wala halikimbii,ila linachechemea.
Ila nalipenda kwa sababu wana customer care nzuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe duuhHamna kidogo tu.
Nilikuwa napiga story na dereva[emoji1]
Ndyo hostel zile tena km za magufuli, had rangi na muundo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, khaaaahWaache watoto wajifurahishe.