Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1635]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1635]
Safari hii vipi unapanda[emoji1] Mie nafika maeneo karibu na shule ya KitukuniMkuu/shimbi Rombo mkuu[emoji28]
Japo ndo sipendi ndizi. Ila nyama za kuchoma za rock hill pale bana achaa kbs
Nipo mkuu 😃😃
Karibu tena kiongozi, umepumzika vya kutosha asee 😁😁😁
Nitakuwa ziwani victoria, nakula sato tuuu baada ya wiki mbili hadi mwaka uishe 😀😀 but kila kitu kikiwa sehemu yake nataka nikamalizie mwaka Blantyre .Amkeni amkeni ule mwezi wa road trip ndio huu.....wiki ijayo nafanya service kabisa kujiandaa na northern zone trip!
Muhimu sana mwisho wa mwaka kukaa sehemu nzuri,tulivu ukireflect mwaka unaoisha umefanya nini na unaokuja unapanga kufanya niniNitakuwa ziwani victoria, nakula sato tuuu baada ya wiki mbili hadi mwaka uishe 😀😀 but kila kitu kikiwa sehemu yake nataka nikamalizie mwaka Blantyre .
Naona ulikuwa mapumziko.
Hehehe kitukuni hata naijua basi?Safari hii vipi unapanda[emoji1] Mie nafika maeneo karibu na shule ya Kitukuni
Mbona unapapenda sana northern zone mkuu[emoji28][emoji28]Amkeni amkeni ule mwezi wa road trip ndio huu.....wiki ijayo nafanya service kabisa kujiandaa na northern zone trip!
Mtakatifu Anna unapenda lift[emoji23]Naona ulikuwa mapumziko.
Mimi nipo nasubiri tu lift hapa.
Ila huyu jamaa bora angeongeza id kuliko kubadili jina lefu sanaa
Sawa kaka wa kudetox.Nilipumzika kidogo...lift ipo
Karibu tena kiongozi, umepumzika vya kutosha asee [emoji16][emoji16][emoji16]
Nifanyeje sasa na gari sina[emoji16]