ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Before sijaanza kupiga trip mwenyewe nilikuwa nazitumia hizo primarily kwa trip zangu za Southern Zone. Hii ajali nimeifeel sana.Nimeiona humu humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Before sijaanza kupiga trip mwenyewe nilikuwa nazitumia hizo primarily kwa trip zangu za Southern Zone. Hii ajali nimeifeel sana.Nimeiona humu humu JF
...imekula mzinga wa kutoshaGari za gazeti za Mbeya zimefanya yake.
Tisa wafa jana/leo... Kuna aliyeonq taarifa?
Hatari sana. Nakumbuka nilishawahi kupanda gari ya magazeti kutoka Dar kwenda Moshi enzi hizo nipo chuo sitakaa nisahau!...imekula mzinga wa kutoshaView attachment 2043038
Huenda nikawa part ya tatizo maana nilizopanda nilikuwa naona zinaenda mwendo wa kawaida, mbeya saa 4 asubuhi.Huko ni kujitoa muhanga!
Ni risk sana kusafiri na yale magari.....labda iwe ni dharura isiyokwepeka..[emoji3064]Hatari sana. Nakumbuka nilishawahi kupanda gari ya magazeti kutoka Dar kwenda Moshi enzi hizo nipo chuo sitakaa nisahau!
Ha ha juzi jumamosi niliamua kukitoa mafua ki baby walker changu mpaka moshi niligonga 140 haikuwa poa aisee hivi vigari vidogo vikae mjini ukiwa na safari ndefu tembea kwa usalama, mkeka wa segera - msata wa hovyo sana hasa ukitembea usikuHizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami
Msata Segera kuna vile vishimo kama lami imebanduka hivi. Pia njia hio kuna sehemu nyingi barabara iko kama tuta, ikitokea gari,lori mbele linaovateki huna pa kukimbilia zaidi ya bondeni.Ha ha juzi jumamosi niliamua kukitoa mafua ki baby walker changu mpaka moshi niligonga 140 haikuwa poa aisee hivi vigari vidogo vikae mjini ukiwa na safari ndefu tembea kwa usalama, mkeka wa segera - msata wa hovyo sana hasa ukitembea usiku
Last trip ya mchana kuna IST ilinikata, sikuiona tena!
Kama gari iko vizuri na wewe una uwezo mzuri mkuu unaweza kufanya wonders
Haka kanakimbia sana
Kuna sehemu zina miti na kingo pembezoni mwa barabara na kona kali hapo ndio napaonaga jau sana hasa ukitembea usiku pale kwa mtu ambae sio mzoefu mnaweza mkavaana maana njia ni nyembamba pia!Msata Segera kuna vile vishimo kama lami imebanduka hivi. Pia njia hio kuna sehemu nyingi barabara iko kama tuta, ikitokea gari,lori mbele linaovateki huna pa kukimbilia zaidi ya bondeni.
Ndio maana nimeacha kusafiri usiku. Hatari sanaKuna sehemu zina miti na kingo pembezoni mwa barabara na kona kali hapo ndio napaonaga jau sana hasa ukitembea usiku pale kwa mtu ambae sio mzoefu mnaweza mkavaana maana njia ni nyembamba pia!
Kuna siku baada ya zile corner tumekuta lorry la bia limemwagika katikati ya barabara ina maana kama ulikuwa umemwaga moto ukikutana nalo ghafla na huna brembo brakes lazma kiumane😅
Usiku unahitajika umakini sana yani otherwise kama si lazima unakausha tuNdio maana nimeacha kusafiri usiku. Hatari sana
Mkuu limiter unatoaje mzee! Hebu tuelekezane kidogo😅 sie wenye crown tunadharaulika sana na wajerumani kisa limiter😅Na nimetoa limiter kanaenda hadi 220